Kuelekea necta form 4, nawezaje kupata marks zote section D ??

Breaking bad

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,464
Reaction score
3,497
Hasa kwa wanafunzi wa shule ya kata ambao lugha ya kiingereza kwao ni changamoto. Ukifuatilia ufaulu wengi huwa ni mdogo hasa pale section d.
walimu tupeni mbinu za kuchukua alama zote pale katika somo lako ambalo upo special.

nimeweka section d kwa sababu pale huwa pana maksi nyingi na pana hitaji maelekezo namna ya kupajibu lakini unaweza kutupa mbinu hata kwa mtihani mzima.

pia maneno yatumikayo kama describe, explain, evaluate, n.k huwa yana hitaji nini??
shukrani sana walimu.
 
Unasoma Art au science?

Solve past papers tu
 
Back
Top Bottom