Kuelekea Msimu mpya wa EPL tupia Top 4 yako hapa!

1.Arsenal
2.Manchester city
3.Liverpool
4.Manchester utd........
Top four hiyoo...
.
5.spurs
6.westhm
.
.
.
.10.chelsea
Hahahahaha! naona watu mnabet kwa mapenzi na chuki dhidi ya maadui...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Conte asipomramba miguu Costa, tutamtimua asubuhi na mapema na tutakuwa na hali mbaya kwa sababu morali miongoni mwa mastaa wetu haitokuwepo. Halafu Morata ni mrembo sana atakuwa anapakatwa tu na mabeki wa EPL. Morata + Batshuayi hawafikii hata nusu ya mnyama Diego Costa...

Kuhusu top four, binafsi nashindwa kubet, ila ninachoamini ni Mourinho na Man U yake kubeba ndoo, the rest tutabanana huko nyuma...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Kumbukeni kuwa huu utabiri unaishi, mezi may 2018 utafukuliwa huu uzi ili kuona wenye utsbiri wa kweli.
United
City
Chelsea
Spurs
Liverpool
Asernal
Evarton
Leicester
Westham
 
1. Man U
2. Man city
3. Chelsea
4. Arsenal
5. Totenham ( Kama wataendelea na msimamo wao wa kutosajili)

6. Liverpool
 
Huu msimu nahisi Manchester united utakua upande wao, ukifatilia kahistoria la morinho kila msimu wake wa pili kwenye kila timu lazima achukue ubingwa pia hawakua na timu mbaya msimu ulopita ila kosa Lao kubwa lilikua ni umaliziaji wa magoli Jambo ambalo lilipelekea Kupata sare nyingi hasa mechi za nyumbani, Kama lukaku ataendelea na form yake ile ya everton ya kufunga magoli na Sasa yupo na wachezaji Kama mikhitaryan, Mata na pogba pia hii addition ya Matic pale Kati binafsi naona Manchester united Kama hawatopata majeruhi kwa wachezaji wake muhimu nina wapa nafasi kubwa ya kufanya vizuri msimu huu.

Wana timu nzuri na hali itakua mbaya zaidi Kwetu wapinzani kama kweli watamsajili huyo Gareth bale au winger yeyote mzuri maana so far hawana natural winger aina ya akina hazard au mane wakipata wa hivyo itakua hatari timu yao.
 
Man U kwa timu ile iliyocheza juzi na Madrid hata top 4 hayumo, usikariri mpira hauchezwi kwa historia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimu mpya wa EPL kwa 2017/18 unaanza rasmi kesho Ijumaa kwa Arsenal kuvaana na Leicester City.

Vilabu vikubwa baadhi vimejiimarisha katika usajili wa dirisha hili kubwa la Majira ya Kiangazi.

Mengi yanazungumzwa kuna timu kubwa hazitoweza kumaliza Top 4 kutokana na aina ya Vikosi vyao na hivyo kupelekea kukosa kushiriki Uefa Champions League.

Ufuatao ni utabiri wangu wa timu ambazo zitamaliza Top 4 ya EPL
1.Man City
2.Man Utd
3.Tottenham
4.Liverpool

Na Conte atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa kwa Timu kubwa pale EPL.

Tupia utabiri wako na wewe!

!
!
Hii ya Conte tupo pamoja.
 
Man U kwa timu ile iliyocheza juzi na Madrid hata top 4 hayumo, usikariri mpira hauchezwi kwa historia

Sent using Jamii Forums mobile app
Ligi kuu ya uingereza Kuna timu Bora Kama madrid...?

Timu binafsi nina mapenzi nayo ni Chelsea tungecheza na ile Madrid tungekua na Hali mbaya zaidi kuliko hao majamaa, achilia mbali sie mabingwa watetezi wa ligi kuu uingereza.

Mkuu Madrid kwa Sasa ni timu Bora Sana kuchukua UEFA back to back ni jibu tosha kabisa, Kama uliangalia fainali ya UEFA dhidi ya Juventus au mechi yao dhidi ya Bayern tusinge debate hili swala hapa.
 
Man U kwa timu ile iliyocheza juzi na Madrid hata top 4 hayumo, usikariri mpira hauchezwi kwa historia

Sent using Jamii Forums mobile app
Casemiro + modric + kroos = nightmare.

Fullbacks zao Marcelo + carvajal wapo very offensive.

Isco form yake sasa tusimuongelee kabisa, labda uje pale Wana Ronaldo.

Baadhi ya wachambuzi wamethubutu kusema hii timu yao Bora kuliko Barcelona ya gardiola, wapo njema.

Hamna timu Sasa itacheza na madrid alafu itaishawishi ulimwengu kwamba wao ni wazuri lazima madrid watakuadabisha tuuu.
 
Kabla ya msimu uliopita kuanza Chelsea ilisemwa vibaya na Wengi waliieka man u top four
Mtu mwenye heshima kwenye soka kama ferguson akitoa chelsea had nje ya top six lakin likichokuja kutokea hakuna asiejua

tukutane february kuelekea march
Sio kila siku ni Ijumaa.
 
1. Arsenal
2. Man City
3. Chelsea
4. Man U
5. Liverpool
6. Totenham Hotspurs
7. Everton
 
Back
Top Bottom