Kuelekea Msimu mpya wa EPL tupia Top 4 yako hapa!

Msimu mpya wa EPL kwa 2017/18 unaanza rasmi kesho Ijumaa kwa Arsenal kuvaana na Leicester City.

Vilabu vikubwa baadhi vimejiimarisha katika usajili wa dirisha hili kubwa la Majira ya Kiangazi.

Mengi yanazungumzwa kuna timu kubwa hazitoweza kumaliza Top 4 kutokana na aina ya Vikosi vyao na hivyo kupelekea kukosa kushiriki Uefa Champions League.

Ufuatao ni utabiri wangu wa timu ambazo zitamaliza Top 4 ya EPL
1.Man City
2.Man Utd
3.Tottenham
4.Liverpool

Na Conte atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa kwa Timu kubwa pale EPL.

Tupia utabiri wako na wewe!
1. Liverpool
2. ManCity
3. Man U
4. Tottenham

Inasikitisha kuona watu wamepoteza imani na Chelsea!
Ni kwann?
 
Back
Top Bottom