Kuelekea Msimu mpya wa EPL tupia Top 4 yako hapa!

Msimu mpya wa EPL kwa 2017/18 unaanza rasmi kesho Ijumaa kwa Arsenal kuvaana na Leicester City.

Vilabu vikubwa baadhi vimejiimarisha katika usajili wa dirisha hili kubwa la Majira ya Kiangazi.

Mengi yanazungumzwa kuna timu kubwa hazitoweza kumaliza Top 4 kutokana na aina ya Vikosi vyao na hivyo kupelekea kukosa kushiriki Uefa Champions League.

Ufuatao ni utabiri wangu wa timu ambazo zitamaliza Top 4 ya EPL
1.Man City
2.Man Utd
3.Tottenham
4.Liverpool

Na Conte atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa kwa Timu kubwa pale EPL.

Tupia utabiri wako na wewe!
Arsenal,man cty,man u,Liverpool

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui ubavu wa kutamka hayo maneno umepata wapi!!!!!
Inahitaji mwanadamu mwenye roho ngumu kama ya Mohamed Alli kuweza kutamka hayo maneno
But, this is the truth
1. Man utd
2. Chelsea
3.Arsenal
4. Man city if Coutinho will leave Liverpool, if not, vice versa
Man mara mia omba catinyo asiondoke, akiondoka kuna vyuma viwili vinaingia kwenye midfield. Keita na Ractic maana atabadilishwa na catinyo kwa add-ons.

Ractic dimba la mbele na naby keita la nyuma liver itakosaje ubingwa? Ni uchambuzi wa wataalamu wa mbelembele, sorry sana
 
Msimu mpya wa EPL kwa 2017/18 unaanza rasmi kesho Ijumaa kwa Arsenal kuvaana na Leicester City.

Vilabu vikubwa baadhi vimejiimarisha katika usajili wa dirisha hili kubwa la Majira ya Kiangazi.

Mengi yanazungumzwa kuna timu kubwa hazitoweza kumaliza Top 4 kutokana na aina ya Vikosi vyao na hivyo kupelekea kukosa kushiriki Uefa Champions League.

Ufuatao ni utabiri wangu wa timu ambazo zitamaliza Top 4 ya EPL
1.Man City
2.Man Utd
3.Tottenham
4.Liverpool

Na Conte atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa kwa Timu kubwa pale EPL.

Tupia utabiri wako na wewe!
Mkuu unachuki na Chelsea sio kingine...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya msimu uliopita kuanza Chelsea ilisemwa vibaya na Wengi waliieka man u top four
Mtu mwenye heshima kwenye soka kama ferguson akitoa chelsea had nje ya top six lakin likichokuja kutokea hakuna asiejua

tukutane february kuelekea march
 
Back
Top Bottom