Kuelekea Msimu mpya wa EPL tupia Top 4 yako hapa!

Ufuatao ni utabiri wangu wa timu ambazo zitamaliza Top 4 ya EPL
1.Man City
2.Man Utd
3.Tottenham
4.Liverpool

Kwenye top two, i think you are right, Lakini namba tatu na ya Nne ya Tottenham, liverpool naona watashindana na Arsenal, Chelsea na Everton. Naona huwezi kutabiri timu itakayopata nafasi ya tatu na ya nne.
 
1. Manchester United
2.Tottenham
3. Manchester city
4. Chelsea

sent from using iphone 7+ mobile app
 
Back
Top Bottom