Kuelekea Happy Friday

Kuelekea Happy Friday

asante utakuja leo best nakutegemea wewe utakuwa wakuandaa pale high table wahi mapema kabla ya saa 2 usiku best kwani mgeni wangu WILLY SMITH ameshakuja kufanya mavituz na @Rular Swaga watakuwa ma-MC wa sherehe hii
hongera mamitooooooo
 
Karibu sana Mpendwa, mama Paroko! Hongera kwa achievement uliyofikia. Pamoja sana bibie! Bado najipanga kufanya maamuzi magumu.........!!!! Nia ninayo ila bado sijaiweka mbele!

UNASUBIRI NINI KUFANYA MAAMUZI SASA?, UNANGOJA NINI KUCHUKUA HATUA
ILIYONYOOKA?ACHA KUOGOPA WEKA NIA MBELE NA THUBUTU SASA ...........


Hiyo ya kulala itakuwa ngumu maana marejesho ataua mtu! Nitakuja mwenyewe na nitawahi kuondoka nikambembeleze kijacho!!!!
 
Last edited by a moderator:
asante utakuja leo best nakutegemea wewe utakuwa wakuandaa pale high table wahi mapema kabla ya saa 2 usiku best kwani mgeni wangu WILLY SMITH ameshakuja kufanya mavituz na @Rular Swaga watakuwa ma-MC wa sherehe hii

mhhh sidhani kama ntaweza...........kuna program fulani tunaenda mimina shem wako sosoliso.
hata hivyo Suzie atakujakuweka mambo sawa!
nikutakie kila la kheri mrembo
 
Last edited by a moderator:
nilisahau kumwambiakwani najua yeye anapenda vitu hivi hapa tasker.jpg
janaume lavizia midondo yaani.. ladyfurahia hujamuambia Bishanga kwenye sherehe ni soda na juice tu..?

cc The secretary..
 
Hivi hio sherehe imeisha au bado ipo

Hongera ladyfurahia uwe mtoto.mwema
 
Last edited by a moderator:
Mie ndo nashuka kwenye pantoni nakuonea wap sasa?
 
Hi

Ni furaha ilioje ndani ya moyo wangu ambayo nashindwa hata kuiziba
naona kama ngekewa vile au maajabu ya Mungu kuwepo tena siku hii.
ambayo kwangu imenipa kicheko na ushangao ambao siwezi simulia.

Takribani imepita miaka 2 sasa mm kuwepo mjengoni hapa, Namshukuru
Mungu kuniweka leo na kuingojea siku muhimu ya kesho ambayo
natimiza miaka miwili hapa jamii forum. ambayo nimeiita HAPPY FRIDAY

Shukrani zangu za kipekeee ziwaendee viongozi na mods wote wa humu
mjengoni Akina Invisible, Maxence Melo, moderator,na wengineo wengi
ambao kwa namna moja ama nyingine wameweza kunisababisha
kuwepo mjengoni na kupost threads, comments na kupata marafiki wapya
hapa mjengoni bila hata kupigwa BAN kwa miaka yote hiyo kwani niliishi
kwa kufuata rules za humu ndani bila hata kubomoa ingawaje waliokuwepo
marafiki ambao walitaka nipigwe BAN lakini haikuzaa matunda yoyote kwangu

Shukrani za kipekee ziwaendee marafiki zangu wa zamani na wapya ambao
walikuwa na ushirikiano nami kwenye threads zangu zilizokuwa napost hapa
vilevile wengine niliweza kuonana nao face to face, wengine kwenye simu na
kadha wa kadha, wako walionitia moyo sana na kuniambia nisonge mbele japo
nilipitia katika majaribu sitawasahau akina Madame B, charminglady, Filipo
kaka Erickb52, mkaliwakitaa, Bujibuji ambao kwa namna moja ama nyingine
walinifariji katika kipindi cha matatizo yangu na mume wangu Mentor
shukrani za kipekee ziwaendee wale ambao waliojitolea kuja kwenye function
ambayo niliianda na si mwingine ni Ruttashobolwa na wengine wengi.

Vilevile nitawakumbuka sana marafiki zangu hawa Nicas Mtei, Excellent, Mtambuzi, Mr. Rocky, watu8, ARUshone, stevoh, mathematics, mamamia, fetty, nitonye, Bakulutu, Mamndenyi, Paloma, Chimbuvu, steven Masaku, Uswe, amu, Smile, Asprin (mtia adabu),
na wengineo wengi ambao sijawataja hapa wanisamehe kwani ni vigumu
kuwakumbuka. walinisupport jamani asanteni sana.

Sitawasahau ndugu zangu wa karibu nao ni charminglady, Passion Lady, sweetlady, FirstLady, @Fp, Lady doctor, lady focus, Lady, Lady lily na wengine kwani
wamenipa furaha ya ajabu na kunifanya niwe na changamoto la furaha milele.

Mwisho kabisa namshukuru sana my luv Mentor kwa kuwa karibu yangu nyakati za
matatizo na conflicts zetu, yeye kipekee amekuwa BABA mwema kwangu na amenipa
kicheko nyakati zote na huzuni nyakati zote kwa mambo yake ya ajabu ajabu.

Tamati kabisa nawakaribisha nyumbani kwangu KIGAMBONI kutakuwa na functio ndogo
sana ya kukata keki kwa msumeno njoo na msumeno wako ulio mkali sio ule chakavu,
Njoo na glasi, kikombe cha ulukama kwani hatutakuwa na kyai kya rangi, hapa ni Bujibuji
ataelewa, tutakuwa na mambo yafuatayo:-

1. Kukaribisha wanachama wapya mjengoni

2. Kutakuwa na kula keki kwa kutumia msumeno wa

3. Rangi ya ukumbi itakuwa ni white, blue, black, gold na mizeituni
(vaa rangi uipendayo kati ya hizo na upendeze)

4. kutakuwa na chakula cha aina ya makande kwani Mentor kwao
ndo chakula kikuu sana hebu angalia upate hamu kabla ya kula
kwani wao hula kwa kuangalia picha ukutani ona hapa View attachment 92974
hapa tumetia makorombwenzo utayapenda we acha tu sio
utamu huo wishing kama utakuwepo ona kiko mezaniView attachment 92975

5. Kutakuwa na Champaigne unalcohol (mm ni mama paroko)
tutaiagiza kwa Mtambuzi 100pub

6. Kutakuwa na Music wa aina yake ambao utaongozwa na
SOLO THANG View attachment 92972 Na Neema ChoirView attachment 92976


7. Ma-MC wa siku hiyo watakuwa hawa @Rular Swaga na
mkali toka USA atakuwepo kwani nimeshamkatia ticket
ya shirika la ndege la FASTJET
atakuwepo View attachment 92973 ni MC

Mpendwa rafiki karibu hiyo kesho usikose kwani nimeandaa
mambo ya unkweliiiii

Nashukuru kuwa mmojawapo wa jf na tuendeleee kuwa pamoja

nawapenda


Hakuna kitu ulichonivutia kama kunyata pokea dedicationa hiyo basi mpenzi


 
Last edited by a moderator:
karibu best ni pale kigamboni ukivuka tu mtumbwi nibeep nitakuja kukupokea kuanzia saa 2 usiku mambo yanaanza pale na mgeni wangu WILLY SMITH ameshaifika nataka nimpeleke katika kituo cha ITV, TBC 1 wakamhoji kidogo kabla ya function yenyewe
Shost naogopa kuvuka upande wa pili...!!!
 
pole bestito jamani kwani ulikuwa wapi wewe kwanini ukunibeep jamani tulihairisha jana tulikwenda kwa Mtambuzi kumwona pole sana best wangu
Mie ndo nashuka kwenye pantoni nakuonea wap sasa?
 
Last edited by a moderator:
itakuwa ijumaa siku ambayo ni muhimu kwangu ila usiniambie ni kitu gani kitakuwepo kama uko dar wakaribishwa kigamboni tutakuwa na dinner party pale muda wa jioni sana watu wakitoka kwenye shughuli zao
Sasa lini tena ladyfurahia? Manake kula raha muhimu ati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom