Hi
Ni furaha ilioje ndani ya moyo wangu ambayo nashindwa hata kuiziba
naona kama ngekewa vile au maajabu ya Mungu kuwepo tena siku hii.
ambayo kwangu imenipa kicheko na ushangao ambao siwezi simulia.
Takribani imepita miaka 2 sasa mm kuwepo mjengoni hapa, Namshukuru
Mungu kuniweka leo na kuingojea siku muhimu ya kesho ambayo
natimiza miaka miwili hapa jamii forum. ambayo nimeiita
HAPPY FRIDAY
Shukrani zangu za kipekeee ziwaendee viongozi na mods wote wa humu
mjengoni Akina
Invisible,
Maxence Melo, moderator,na wengineo wengi
ambao kwa namna moja ama nyingine wameweza kunisababisha
kuwepo mjengoni na kupost threads, comments na kupata marafiki wapya
hapa mjengoni bila hata kupigwa
BAN kwa miaka yote hiyo kwani niliishi
kwa kufuata rules za humu ndani bila hata kubomoa ingawaje waliokuwepo
marafiki ambao walitaka nipigwe
BAN lakini haikuzaa matunda yoyote kwangu
Shukrani za kipekee ziwaendee marafiki zangu wa zamani na wapya ambao
walikuwa na ushirikiano nami kwenye threads zangu zilizokuwa napost hapa
vilevile wengine niliweza kuonana nao face to face, wengine kwenye simu na
kadha wa kadha, wako walionitia moyo sana na kuniambia nisonge mbele japo
nilipitia katika majaribu sitawasahau akina
Madame B,
charminglady,
Filipo
kaka
Erickb52,
mkaliwakitaa,
Bujibuji ambao kwa namna moja ama nyingine
walinifariji katika kipindi cha matatizo yangu na mume wangu
Mentor
shukrani za kipekee ziwaendee wale ambao waliojitolea kuja kwenye function
ambayo niliianda na si mwingine ni
Ruttashobolwa na wengine wengi.
Vilevile nitawakumbuka sana marafiki zangu hawa
Nicas Mtei,
Excellent,
Mtambuzi,
Mr. Rocky,
watu8,
ARUshone,
stevoh,
mathematics,
mamamia,
fetty,
nitonye,
Bakulutu,
Mamndenyi,
Paloma,
Chimbuvu,
steven Masaku,
Uswe,
amu,
Smile,
Asprin (mtia adabu),
na wengineo wengi ambao sijawataja hapa wanisamehe kwani ni vigumu
kuwakumbuka. walinisupport jamani asanteni sana.
Sitawasahau ndugu zangu wa karibu nao ni
charminglady,
Passion Lady,
sweetlady,
FirstLady, @Fp,
Lady doctor,
lady focus,
Lady,
Lady lily na wengine kwani
wamenipa furaha ya ajabu na kunifanya niwe na changamoto la furaha milele.
Mwisho kabisa namshukuru sana my luv
Mentor kwa kuwa karibu yangu nyakati za
matatizo na conflicts zetu, yeye kipekee amekuwa
BABA mwema kwangu na amenipa
kicheko nyakati zote na huzuni nyakati zote kwa mambo yake ya ajabu ajabu.
Tamati kabisa nawakaribisha nyumbani kwangu
KIGAMBONI kutakuwa na functio ndogo
sana ya kukata keki kwa msumeno njoo na msumeno wako ulio mkali sio ule chakavu,
Njoo na glasi, kikombe cha ulukama kwani hatutakuwa na kyai kya rangi, hapa ni
Bujibuji
ataelewa, tutakuwa na mambo yafuatayo:-
1. Kukaribisha wanachama wapya mjengoni
2. Kutakuwa na kula keki kwa kutumia msumeno wa
3. Rangi ya ukumbi itakuwa ni white, blue, black, gold na mizeituni
(vaa rangi uipendayo kati ya hizo na upendeze)
4. kutakuwa na chakula cha aina ya makande kwani
Mentor kwao
ndo chakula kikuu sana hebu angalia upate hamu kabla ya kula
kwani wao hula kwa kuangalia picha ukutani ona hapa
View attachment 92974
hapa tumetia makorombwenzo utayapenda we acha tu sio
utamu huo wishing kama utakuwepo ona kiko mezani
View attachment 92975
5. Kutakuwa na Champaigne unalcohol (mm ni mama paroko)
tutaiagiza kwa
Mtambuzi 100pub
6. Kutakuwa na Music wa aina yake ambao utaongozwa na
SOLO THANG
View attachment 92972 Na Neema Choir
View attachment 92976
7. Ma-MC wa siku hiyo watakuwa hawa @Rular Swaga na
mkali toka USA atakuwepo kwani nimeshamkatia ticket
ya shirika la ndege la FASTJET
atakuwepo
View attachment 92973 ni MC
Mpendwa rafiki karibu hiyo kesho usikose kwani nimeandaa
mambo ya unkweliiiii
Nashukuru kuwa mmojawapo wa jf na tuendeleee kuwa pamoja
nawapenda