1. Mambo yenda yakiongezwa, si white house, mabakabaka, tiss ya huko, nk wataonyesha hadharani kutoridhika kwao na mambo yalivyo.
2. Hii sasa ni serikalini, kwamba mambo lukumba lukumba!
3. Kwamba kitanuka vilivyo huko kuelekea anniversary day 100 ya uvamizi wa Israel Gaza.
4. Mahsusi kwa wale wafia dini sasa, vipi hapo na hali hapo? Hawa nao ni mnaowaita wavaa kobazi aka vipedo?
5. Kwa hakika haki ya wapalestina italipwa hapa hapa duniani.
6. Kucheleweshwa sawa, ila watawalipa wote nasema mtawalipa.