yutong
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 1,601
- 338
Kutumika kwa mkapa hakuwezi badilisha kuchokwa kwa CCM na wananchi wa Tanzania ila ninachokiona CCM wanatumia nguvu nyingi sana ktika uchaguzi mdogo hiiinaonyesha kwamba vyama vya upinzani ni tishio kwa CCM kiwa sasa na kwa wakati ujao. Mimi sitaki kusema hasa nani atashinda ila nadhani hayo yote ni katika mchakato wa kuelekea kuikomboa nchi yetu mikononi mwa kenge ambaye ni CCM.