No reason to object but to support the fact.With Dr. Slaa, Tanganyikans will enjoy the fruits of their natural resources
Mkuu unanipa FARAJA YA MOYONI!! Thanks..
No reason to object but to support the fact.With Dr. Slaa, Tanganyikans will enjoy the fruits of their natural resources
siyo Dr Slaa pekee mwenye kustahili sifa za kuijenga CDM, ni jumla yetu sisi, mimi na wewe na juhudi za dhati za akina Ben, Mwanakijiji et zilizoifikisha CDM hapa ilipo...Kazi ni kubwa mbele yetu maana CCM inalindwa na fedha za wawekezaji wenye kutuubia madini yetu, hizo MNCs zimejiwekea bajeti ya matrilioni ya kuhonga uchaguzi ili wamweke mtu wamtakao...Narudia tena sasa ni wakati wa CDM kujipanga na si kusherehekea maana kazi iliyoko mbele yetu ni kubwa sana. tusitarajie kampuni kama Mantra ya George Bush, Symbion, Barrick na sasa nasikia Exxon nayo inaingia Mtwara thru Sysmbion watakubali kirahisi CCM itoke madarakani kirahisi - chaguzi iliyopita Barrick walitoa kiasi kikubwa sana cha fedha, waangalizi wa uchaguzi walikuwa pale kuhakikisha CCM inashinda kwa gharama yoyote ile ndiyo maana mtandao mpaka leo umechanganyikiwa kwa kushindwa kutoa idadi ya kura zilizopigwa...Pia wagombea wa Upinzani huwa wanahongwa wakati mwingine ili wasigombee ama wakubali kushindwa!!! Kazi ipo...tusi mwachie Mbowe, Slaa et al ukombozi wa Taifa letu ... Tushirikiane mimi na wewe na wengineo ili hatimae dhahabu zetu, almasi zetu, Gesi yetu na rasilimali zetu zitunufaishe sis Watanzania kwanza...
Nnawasiwasi na upeo wako wa kupembua mambo,maneno mengi point hakuna,polee
Mkuu Kiboko naona wewe utakuwa na Chuki binafsi na Dr SLAA, hiv wewe unadhani kuwahudumia kondoo wa bwana, had uhubiri na utoe komunio? utawahubiria wasiibe, wasiue huku wanalala njaa? Mungu anaweza kukuita kwa namna nyingi, hoja ya PK unaweza kuniambia alivunja ibara ya ngap ya katiba kwa kutoa maoni yake? issue ya amani, uliona wap watu wanaomba amani huku wananyima wenzao hak? we unaona mtoto anaesoma E.A SCHOOLS na anaesoma Yusuph MAKAMBA day wanaiva chungu kimoja? achen unafk bhana, amani ni tunda la hakiNdoto sio lazma uote usiku hata mchaana unaota pia,Kwa utash upi alionao mpaka aje kuwa Rais wa Tz,fanya utafti utagundua hata umaarufu aliokuwa nao 2010 na sasaa umeporomoka sana na n baada ya kutopima kipi aseme kwenye media na kip asiseme,angalia issue ya PK bado hyo haitosh kawalau watu wa din wasiombee Tz aman kuwa n wanafki,,,,,,,ooh ndo nn hko anafanya?kalisaliti kanisa hashindwi tusaliti waTz huyo,umri umemtupa awe mshauri tu wa Zitto Kabwe,Mdee na Mnyika.ova.
Kumekuwepo na maneno mengi kumhusu DR. W. SLAA, na mimi c mshabiki sana wa majina ya watu lakini Kwa Dr. SLAA.. mnyonge mnyongeni haki yake mpeni... nimeangalia makatibu wakuu na viongozi wote wa vyama vikuu vya siasa nchini toka mwaka 1992.. Nimegundua.. ni DR. SLAA pekee., 1. aliyeweza kujenga chama cha siasa kwa mafanikio makubwa mno na kwa muda mfupi sana bila kuyumbishwa.. mf. kutoka wabunge 5-50 (the figure subjected to increase b4 2015 G. elect) 2. Ndio katibu mkuu pekee wa chama cha upinzani aliyesababisha kuvunywa na kupanguliwa kwa mfumo wote wa chama tawala tokea chini had juu, na kuweka mikakat dhaifu kama kujivua gamba, nk 3. Ni katibu mkuu pekee jasiri, mwenye uwezo mkubwa wa ku handle conflict bila kuvuruga chama(ref. Shibuda, Shonza, Mwampamba etc) na anaejibu hoja kwenye mitandao ya kijamii bila kupepesa macho. 4. Ndie Katibu mkuu peke anaeweza kuja kuwa rais wa tanzania kuelekea 2015. Tafadhal pinga kwa hoja
Ananikunaje! CHADEMA & Dr wa ukweli Watosha!!!!!Kila ninaposikia Dr Slaa anaongea napata faraja sana.Natamani kuendelea kumsikiliza.Ni mzalendo.Genukne.Anachukia ufisadi kwa vitendo.Aoonafiki.Mungu amlinde mtetezi huyu qa qanyong wa
ngoja Lumumba ije.wakiona tu hilo jina lazima washikwe na tumbo la kuhara .
CHADEMA YATOSHA!!!
Rais atoke kaskazin?!! Ngoja tumwulize baba wa taifa
Kumekuwepo na maneno mengi kumhusu DR. W. SLAA, na mimi c mshabiki sana wa majina ya watu lakini Kwa Dr. SLAA.. mnyonge mnyongeni haki yake mpeni... nimeangalia makatibu wakuu na viongozi wote wa vyama vikuu vya siasa nchini toka mwaka 1992.. Nimegundua.. ni DR. SLAA pekee., 1. aliyeweza kujenga chama cha siasa kwa mafanikio makubwa mno na kwa muda mfupi sana bila kuyumbishwa.. mf. kutoka wabunge 5-50 (the figure subjected to increase b4 2015 G. elect) 2. Ndio katibu mkuu pekee wa chama cha upinzani aliyesababisha kuvunywa na kupanguliwa kwa mfumo wote wa chama tawala tokea chini had juu, na kuweka mikakat dhaifu kama kujivua gamba, nk 3. Ni katibu mkuu pekee jasiri, mwenye uwezo mkubwa wa ku handle conflict bila kuvuruga chama(ref. Shibuda, Shonza, Mwampamba etc) na anaejibu hoja kwenye mitandao ya kijamii bila kupepesa macho. 4. Ndie Katibu mkuu peke anaeweza kuja kuwa rais wa tanzania kuelekea 2015. Tafadhal pinga kwa hoja
Utapinga nini hapo mrisho? ukweli haupingwi ila kwa TZ ngoja usikie taralira
ile clique ya wenye CDM hasa hawatampa tena nafasi ya kugombea huyo Slaa. Nyie mtabwabwaja humu lakini wanaoamua nani agombee urais CDM wapo, siyo nyie. Lakini pia watu wameshaona weakness kubwa aliyo nayo huyo Dr. Sijui kwanini hamwoni kwamba Slaa hafai urais kama ambavyo Magufuli hafai kuwa rais, wanafanana kwenye mambo ya kukurupuka, visasi n.k. Sifa hizi mbaya sana kwa rais!Ananikunaje! CHADEMA & Dr wa ukweli Watosha!!!!!
Kila ninaposikia Dr Slaa anaongea napata faraja sana.Natamani kuendelea kumsikiliza.Ni mzalendo.Genukne.Anachukia ufisadi kwa vitendo.Aoonafiki.Mungu amlinde mtetezi huyu qa qanyong wa
Pamoja na mambo mengine, namkubali kwa 'thinking and reasoning capacity' yake. Ni mtu aliyeiva na hawezi kuyumbishwa na mtu yeyote. Nilishawahi kumfanya naye mahojiano wakati ule anagombea urais 2010 - ni mtu asiye babaika na ana uwezo mkubwa sana kiakili/kielimu. Actually, Dr Slaa ni 'think tank'.