Unauliza MAITI?Jitaidi labda itajibuRais atoke kaskazin?!! Ngoja tumwulize baba wa taifa
Unauliza MAITI?Jitaidi labda itajibuRais atoke kaskazin?!! Ngoja tumwulize baba wa taifa
nimejiapiza sita jibu au kucoment thread ya huyu taka taka anayejiita h. d....
na ndiye katibu mkuu pekee aliyeweza kuwataja mapanyabuku wanaotafuna kwenye ghala la Taifa bila kupepesa macho , pamoja na mikwala yote hakuna hata mmoja aliyekwenda mahakamani !
Ndoto sio lazma uote usiku hata mchaana unaota pia,Kwa utash upi alionao mpaka aje kuwa Rais wa Tz,fanya utafti utagundua hata umaarufu aliokuwa nao 2010 na sasaa umeporomoka sana na n baada ya kutopima kipi aseme kwenye media na kip asiseme,angalia issue ya PK bado hyo haitosh kawalau watu wa din wasiombee Tz aman kuwa n wanafki,,,,,,,ooh ndo nn hko anafanya?kalisaliti kanisa hashindwi tusaliti waTz huyo,umri umemtupa awe mshauri tu wa Zitto Kabwe,Mdee na Mnyika.ova.
Dr.Slaa my president!!!!!
Kwa mzalendo yeyote hata walioko ccm wanamkubali kwamba ni kiongozi bora tuliyenaye Tanzania, kwa wale wote wasio wazalendo wanaangalia vyama vyao tuu na kumkashifu, kiukweli huyu Dr anafaa sana kuwa rais wa nchi hii na kuweza kusukuma mbele maendeleo ya nchii hii
kuna vitu unamahaba navyo sana.
Unalopoka wewe, unampenda zitto sema tu vile hajaoa, unaweza bahatisha.
Kumbe unaipenda chadema ee! endelea mama huo ndo uzalendo
kama kuna mchunguzi wa lugha teyari kishajuwa kwamba hii nayo ni kaskaz.
Kesho nasikia ni Idd mosi,nadhani akili yako itatulia
Hivi ni lini na wapi Hayati Baba wa Taifa alinena eti Rais hawezi tokea eneo fulani nchini? Mbona CCM bila haya wanapotosha alichokuwa anahubiri?kama kaskazini siyo shm ya Tz basi hatokuwa