Ni Katibu Mkuu pekee mwenye umri wa miaka 68 na ana mtoto mchanga mwenye umri chini miaka 2!
Yaani Dr Slaa yupo ki modern zaidi, kwa wale wataalam wa Electrical and control engineering tunasema yupo ki digital control zaidi
Slaa hakuijenga chadema, mjenzi wa chadema ni Zitto Kabwe, kabla ya ujio wa Zitto Kabwe chadema ilikuwa haijulikani.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
ile clique ya wenye CDM hasa hawatampa tena nafasi ya kugombea huyo Slaa. Nyie mtabwabwaja humu lakini wanaoamua nani agombee urais CDM wapo, siyo nyie. Lakini pia watu wameshaona weakness kubwa aliyo nayo huyo Dr. Sijui kwanini hamwoni kwamba Slaa hafai urais kama ambavyo Magufuli hafai kuwa rais, wanafanana kwenye mambo ya kukurupuka, visasi n.k. Sifa hizi mbaya sana kwa rais!
Taja rais mwenye sifa nzuri bila dosari TZ, taja. Wote tunaudhaifu wa kibinadamu ijapokuwa ukweli Slaa yuko safi kuliko marais wengi waliopita TZ.
chadema imesheni vitu adimu.hebu angalia Mh Mbowe alivyojaa hekima busara na ujasiri.Tizama kazi anayofanya Lissu.Mnyika et al...pure quality guys
Kumbe unaipenda chadema ee! endelea mama huo ndo uzalendoSlaa hakuijenga chadema, mjenzi wa chadema ni Zitto Kabwe, kabla ya ujio wa Zitto Kabwe chadema ilikuwa haijulikani.Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Dr Slaa kafanya kazi kubwa kuimarisha upinzani Tz na kuikosoa na kufunua maovu ya ccm. Hakika 2014/2015 kitaeleweka. Ccm mmetunyonya vya kutosha tukiwaachia mmtakuja na kodi ya kichwa na matiti tax.
chadema imesheni vitu adimu.hebu angalia Mh Mbowe alivyojaa hekima busara na ujasiri.Tizama kazi anayofanya Lissu.Mnyika et al...pure quality guys
Taja rais mwenye sifa nzuri bila dosari TZ, taja. Wote tunaudhaifu wa kibinadamu ijapokuwa ukweli Slaa yuko safi kuliko marais wengi waliopita TZ.
Unalopoka wewe, unampenda zitto sema tu vile hajaoa, unaweza bahatisha.Slaa hakuijenga chadema, mjenzi wa chadema ni Zitto Kabwe, kabla ya ujio wa Zitto Kabwe chadema ilikuwa haijulikani.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.