nimeipenda analysis yako
Mkishindwa hoja mnaanza viroja.
Siku ukiwa na hoja, dunia itachanika. After 50 years of absolute poverty bado unahoja wewe??? ufisadi ndo zenu
jisahihishe, absolute poverty tuliokuwa nayo wakati wa nyerere, mwinyi na mkapa. Kikwete katuoa huko.
kakuoa mwenyewe na mumeo!
Slaa? Myfoot.
Jisahihishe, absolute poverty tuliokuwa nayo wakati wa Nyerere, Mwinyi na Mkapa. Kikwete katutoa huko.