Hivi chadema itashinda kwa kura za kina nani? wachagga? wako wangapi nchi hii?
Hivi chadema itashinda kwa kura za kina nani? wachagga? wako wangapi nchi hii?
Hivi chadema itashinda kwa kura za kina nani? wachagga? wako wangapi nchi hii?
Wanabodi,
Preamble: "Kwa opinion yangu, Uchaguzi wa 2015, Chadema Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!"!
Preamble: "Kwa opinion yangu, Uchaguzi wa 2015, Chadema Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!"!
Trend za Upepo wa Kisiasa kuelekea 2015, zinavuma kwa Kasi ya Ajabu kuelekea Direction ya Mabadiliko (The Wind of Change, is Sweeping Across Tanzania) na kila dalili inaonyesha na kuelekeza Chadema is gaining momentum and there is "nothing" to stop it kuchukua nchi mwaka 2015 iwapo...
Wanabodi,
Preamble: "Kwa opinion yangu, Uchaguzi wa 2015, Chadema Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!"!
Trend za Upepo wa Kisiasa kuelekea 2015, zinavuma kwa Kasi ya Ajabu kuelekea Direction ya Mabadiliko (The Wind of Change, is Sweeping Across Tanzania) na kila dalili inaonyesha na kuelekeza Chadema is gaining momentum and there is to stop it kuchukua nchi mwaka 2015 iwapo...
- Hakuna ubishi kuwa siku zote, CCM imekuwa ikishinda chaguzi mbalimbali "kihalali" na mtaji wao mkubwa wa ushindi ni "watu".
- Hakuna ubishi kuwa CCM kama chama, kimechoka, dalili zote za chama kichovu kinachosubiri kifo, tayari, zimeisha jitokeza kwa CCM, kinachosubiriwa sasa its only a matter of time ni lini kitaangwa rasmi, hiyo 2015 naiona kama ni mbali sana!.
- Hakuna ubishi kuwa wengi wa hao "watu", wamekuwa wakuichagua CCM sio kwa sababu wanaipenda sana!, (waipende kwa lipi?), la hasha!, "watu" wamekuwa wakiichagua CCM kwa mazoea tuu!.
- Hakuna ubishi, kuwa wengi wa hao "watu" waliokuwa kuwa wakiichagua CCM kwa mazoea, sasa wameichoka, hivyo 2015, hawatachagua tena chama kwa mazoea, bali watachagua chama kwa "sababu"!.
- Hakuna ubishi kuwa Chadema, ndicho chama kinachokubalika zaidi kwa sasa kuliko CCM, hivyo ule mtaji mkubwa wa CCM iliyoutegemea kwa miaka nenda miaka rudi, sasa umehamia Chadema!.
- Kama ambavyo CCM imekuwa ikichaguliwa kwa mazoea tuu, na sasa CCM imechokwa, vivyo hivyo kwa sasa Chadema haina lolote la kukifanya kipendwe, bali kinapendwa kwa sababu "watu" wameichoka CCM!.
- Kama utaguzi utaitishwa leo, Chadema itashinda kwa kishindo kikubwa cha ajabu, lakini ukiwauliza hao watakaokipa Chadema ushindi, ni sababu zipi za kuichagua Chadema, hawatakupa sababu yoyote zaidi ya kuichagua Chadema kwa sababu wameichoka CCM!.
- ili Chadema iweze kupata ushindi wa Tsunami kwa uchaguzi wa 2015, lazima Chadema ikubali kubadilika, isiendelee kuutegemea huu umaarufu wa muda kwa kushangiliwa na umati wa watu walioichoka CCM, bali Chadema sasa lazima iwape Watanzania sababu za kuichagua Chadema.
- So far so good, Chadema is doing a good job kwa sababu M4C is doing the right thing!. Doing the right thing alone, doesn't guarantee sweet clear victory for Chadema, it got to do things right!. Hii inamaanisha ili Chadema ishinde kwa kishindo kinachotakiwa, lazima ikubali kubadilika and start doing things right besides doing the right thing!.
- Hivyo ndugu zangu viongozi wa Chadema najua 2015 mmedhamiria kwa dhati kuchukua nchi kwa ushindi wa kishindo!, lakini ili lengo hili litimie, ni lazima kwanza mkubali kusikiliza, pili mkubali kubadilika kwa kuzikiliza hoja zinazotolewa kuhusu Chadema na kuzifanyia kazi!.
Naomba kumalizia kwa nukuu kutoka kwa mmoja wa wanachama wetu humu jf.
Kwa wale wapenzi wa Chadema, ni vema kuwa great expectations on Chadema kuchukua nchi 2015, only if Chadema itabadilika, vinginevyo keep hopping for the best and get prepared for the worst kama Chadema haitabadilika na 2015 itakuwa ni CCM Tena!.
NB. Msiniulize Chadema wabadilike nini, wahusika wameshaambiwa imebaki kusikiliza na kutekeleza!.
Naomba kuwasilisha.
Pasco.
haya mawazo ni mazuri sana, hata mm ni mpenzi wa CDM tusipojirekebisha katu Ikulu hatuioni!!! tusiwe wepesi wa kuwaambia wezetu wameongea pumba ili hali mawazo ni mazuri na ya kutujenga.... ni hayo tu kwa leo!!!
Wanabodi,
Preamble: "Kwa opinion yangu, Uchaguzi wa 2015, Chadema Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!"!
Kwa wale wapenzi wa Chadema, ni vema kuwa great expectations on Chadema kuchukua nchi 2015, only if Chadema itabadilika, vinginevyo keep hopping for the best and get prepared for the worst kama Chadema haitabadilika na 2015 itakuwa ni CCM Tena!.
NB. Msiniulize Chadema wabadilike nini, wahusika wameshaambiwa imebaki kusikiliza na kutekeleza!.
Naomba kuwasilisha.
Pasco.
kuna wanyakyusa, wahehe, waha, wanyamwezi, wasukuma, wakurya, na wengine kibao, sema jingine...Zombi
Nimekubalina na wewe dada, lakini Avatar yako yaweza kuwachanga watu wakafikiri wako Jukwaa la MMU.haya mawazo ni mazuri sana, hata mm ni mpenzi wa CDM tusipojirekebisha katu Ikulu hatuioni!!! tusiwe wepesi wa kuwaambia wezetu wameongea pumba ili hali mawazo ni mazuri na ya kutujenga.... ni hayo tu kwa leo!!!
Chadema sio rahisi kushinda, kwa sababu imeonesha dhahiri kuwa ni chama cha kanisa, sisi waislamu hatuwapi kura zetu , hilo lazima walijue, sasa watashinda kwa kura za kina nani?
Mkuu Ibra, ni kweli kabisa CCM ilichaguliwa kwa ahadi ya kuleta "Maisha bora kwa kila Mtanzania" na kiukweli haikutekeleza, hivyo 2015 hautaichagua kwa sababu hii!. Hii ndizo kura za "kuchokwa kwa CCM" ambazo Chadema itazivuma kama imeokota!. Lakini Jee, Chadema wamekuahidi nini kuhusu hayo maisha bora?, Jee tukishaipiga chini CCM kwa sababu ya hasira za kukosa maisha bora, wako watakao ichagua Chadema ili tuu kuiadhibu CCM, lakini watu makini zaidi, na hawawezi kuichagua Chadema kwa sababu tuu ya kuichoka CCM, bali wataichagua Chadema kwa sababu Chadema imesema itafanya A,B,C, D kuwapatia Watanzania maisha bora ambayo CCM wameshindwa!. Ndio maana nimewaambia viongozi wa Chadema, kusema tuu kuwa CCM ni mbaya, hakutoshi, wasema wao watafanya nini and how?, lazima sasa wabadilike, watupe sababu za kuichagua Chadema!.hadi leohujajua sababu za watz kukichagua chadema? sababu ni hiz hapa
1.wananchi waliahidiwa maisha bora lakin imekuwa kinyume chake
Na hapa pia nakuunga mkono, ni kweli CCM kimeshindwa kutatua kero ya umasikini, ujinga, maradhi, rushwa na ufisadi kwa Tanzania ndani ya miaka 50 iliyopita. Chadema kupitia M4C, is doing the right thing, kuzunguka nchi nzima kuwafungua macho Watanzania jinsi CCM ilivyoshindwa kutatua kero mbalimbali za Watanzania, kueleza tuu kuhusu kero ni one thing, sasa Chadema inatakiwa ibadilike, "not only doing the right thing, but also doing the things right" kwa kuwaeleza Watanzania yenyewe itafanya nini kinyume cha ilichofanya CCM ili kuwapa Watanzania sababu ya kuichagua Chadema!.4.kwa miaka 50 tangutupate uhuru chama kukaa madarakan kimeshindwa kutatua kero mbalimbali za wananchi kama vile ujenzi wa shule,nyumba za watumishi,zahanati,upatiakanaji wa dawa na watumishi. Sababu hizo zinatosha kukipigia kura
akili za magamba.....hivi bado unaamini kuwa cdm ni chama cha wachaga! ajabu.kama ni hivyo, ukichanganya wachaga wote walio ndani ya ccm na vyama vingine vyote, kisha ongeza wakristo wote, kisha watz wote, cdm itakuwa bado haijaingia madarakani? ........kumbuka..cdm ni chama kisicho na dini wala kabila.
Hivi chadema itashinda kwa kura za kina nani? wachagga? wako wangapi nchi hii?
kuna wanyakyusa, wahehe, waha, wanyamwezi, wasukuma, wakurya, na wengine kibao, sema jingine...Zombi
Wachagga wapo wengi sana zomba ngoja ni kumwagie list.
[1] Anthony G Mbassa huyu ni mchagga wa Biharamulo magharibi
[2] Prof Kulikoyela Kahigi huyu ni mchagga wa Bukombe Shinyanga
[3] Simon Peter Msigwa huyu ni mchagga wa Iringa Mjini
[4] Yohana Natse huyu ni mchagga wa Karatu
[5] Halima Mdee huyu ni mchagga wa Kawe Dar
[6] Zitto Z kabwe huyu ni mchagga wa Kigoma kaskazini
[7] John Shibuda huyu ni mchagga wa Maswa mashariki
[8] Joseph Mbilinyi huyu ni mchagga wa Mbeya mjini
[9] David Silinde huyu ni mchagga wa Mbozi magharibi Mbeya
[10] Mustafa Akonnay huyu ni mchagga wa Mbulu
[11] Meshack Opulukwa huyu ni mchagga wa Meatu Shinyanga
[12] Said Arf Amour huyu ni mchagga wa Mpanda Rukwa
[13] Vicent Kiboko Nyerere huyu ni mchagga wa Musoma mjini
[14] Ezekia Wenje huyu ni mchagga wa Nyamagana Mwanza
[15] Tundu Lissu huyu ni mchagga wa Singida Mashariki
[16] John Mnyika huyu ni mchagga wa Ubungo Dar
[17] Salvatory Machemuli huyu ni mchagga wa Ukerewe........
Mkuu zomba kama wachagga wameenea kila pembe ya Tanganyika ni kwanini wasishike dola haa ha ha ha wanchekesha!!!!!!.