Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

Wanabodi, Preamble: "Kwa opinion yangu, Uchaguzi wa 2015, Chadema Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... imethibitika pasi shaka kuwa uchaguzi wa 2015, Ikulu ni ya Chadema, hivyo sasa kuelekea 2015, kila dalili zinaelekeza Chadema kuchukua nchi, wengi wamekubali Chadema iko on the right track, kutimiza lengo hilo la kubisha hodi ikulu, na kukubaliwa kuwa mpangaji rasmi wa jengo lile,
Asanteni
Pasco.
Naendelea kufuatilia safari ya ushindi kuelekea magogoni!.

P.
 
Naendelea kufuatilia safari ya ushindi kuelekea magogoni!.

P.

Kwenye vita vya haki ushindi ni lazima, kinachotakiwa ni kuwa na timu imara ya kukusanya matokeo ya mgombea Urais nchi nzima, tukiwategemea Nec tumeliwa.
Mpaka sasa Lowasa ameshashinda hii game maccm yamebaki na Propaganda tu, ati Magufuri naye anahubiri mabadiriko!!
 
Pasco umetumia neno "Hakuna ubishi" kama tayari umeshafanya research ya kutosha, ikiwa hivyo ni kheri.

Lakini ukweli ni huu, kwa miaka mingi CCM imejaribu kujenga matumaini ya maisha bora kwa watanzania bila mafanikio. Jambo hili ndiyo ambalo limekuwa chukizo kubwa kwa wapiga kura wa rika zote. Kwa mantiki hiyo, kazi inayofanywa na CDM ni mazalia ya matendo ya CCM toka miaka mingi kuongoza nchi pasi kuwa na malengo serious.

Lakini huo ni upande wa mmoja, upande wa pili ili CDM iweze kuingia 2015 madarakani ni kuomba upepo wa kusiasa uvume vizuri mpaka 2014 - 2015 ambapo wapiga kura wengi watakuwa wameshatoa maamuzi ya chama gani kishinde.

Lakini naona CCM nao wamejipanga vya kutosha kuhakikisha hilo nalo halitokei kwa kuanza kukipaka CDM matope kuwa ni chama cha vurugu na mauaji!!!!!

Zaidi ya hapo CCM ipo nyuma ya Jeshi la Polisi kuhakikisha mambo hayaendi mrama.
Hayo ni maoni yangu.

Kuingia CDM 2015 madarakani itategemea na karata wabunge wake watavyozichanga vizuri mpaka 2015 nakujiandalia mazingira mazuri ya kushinda.
Mkuu Mzee wa Rula, asante kwa objectivity yako kwenye bandiko hili la 2012, 2015 ndio hii na October is just around the corner!, naomba unipe tathmini yako kwa sasa!.

Pashttps://www.jamiiforums.com/member.php?u=27514co
 
Wanabodi, Preamble: "Kwa opinion yangu, Uchaguzi wa 2015, Chadema Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!"!Trend za Upepo wa Kisiasa kuelekea 2015, zinavuma kwa Kasi ya Ajabu kuelekea Direction ya Mabadiliko (The Wind of Change, is Sweeping Across Tanzania) na kila dalili inaonyesha na kuelekeza Chadema is gaining momentum and there is nothing to stop it kuchukua nchi mwaka 2015 iwapo...

Asanteni

  • Pasco.
Bado nayafuatilia kwa karibu, maneno yangu ya unabii huu yatimie hapo October 25!.

Pasco
 
Naona ile hoja ya mliyoshauri ya "To do things right" ndo imehitimishwa na usajili wa Lowassa na Sumaye.

With them CDM wamepata power na ability ya kucounter attack Fitina na attacks za kisiasa towards them.

Na pia wamekuwa na uwezo wa kushambulia pale inapobidi.
 
Wanabodi, Preamble: "Kwa opinion yangu, Uchaguzi wa 2015, Chadema Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!..Trend za Upepo wa Kisiasa kuelekea 2015, zinavuma kwa Kasi ya Ajabu kuelekea Direction ya Mabadiliko (The Wind of Change, is Sweeping Across Tanzania) na kila dalili inaonyesha na kuelekeza Chadema is gaining momentum and there is nothing to stop it kuchukua nchi mwaka 2015 iwapo...

  • Hakuna ubishi kuwa siku zote, CCM imekuwa ikishinda chaguzi mbalimbali "kihalali" na mtaji wao mkubwa wa ushindi ni "watu".
  • Hakuna ubishi kuwa CCM kama chama, kimechoka, dalili zote za chama kichovu kinachosubiri kifo, tayari, zimeisha jitokeza kwa CCM, kinachosubiriwa sasa its only a matter of time ni lini kitaangwa rasmi, hiyo 2015 naiona kama vile ni mbali,
  • Hakuna ubishi kuwa wengi wa hao "watu", wamekuwa wakiichagua CCM sio kwa sababu wanaipenda sana!, (waipende kwa lipi?), la hasha!, "watu" wamekuwa wakiichagua CCM kwa mazoea tuu!.
  • Hakuna ubishi, kuwa wengi wa hao "watu" waliokuwa wakiichagua CCM kwa mazoea tuu, sasa wameichoka, hivyo uchaguzi wa 2015, hawatachagua tena chama kwa mazoea, bali watachagua chama kwa "sababu"!.
  • Hakuna ubishi kuwa Chadema, ndicho chama kinachokubalika zaidi kwa sasa kuliko CCM, hivyo ule mtaji mkubwa wa CCM iliyoutegemea kwa miaka nenda miaka rudi, sasa umehamia Chadema!.
  • Chadema sasa lazima iwape Watanzania sababu za kuichagua Chadema!.
  • So far so good, Chadema is doing a good job chini ya Uongozi Shupavu wa Kamanda Mbowe n, Chadema is doing the right thing!. Doing the right thing alone,
  • Hivyo ndugu zangu viongozi wa Chadema najua 2015 mmedhamiria kwa dhati kuchukua nchi kwa ushindi wa kishindo!,

CLOSING REMARKS.
..., imethibitika pasi shaka kuwa uchaguzi wa 2015, Ikulu ni ya Chadema, hivyo sasa kuelekea 2015, kila dalili zinaelekeza Chadema kuchukua nchi, ila kwa maoni ya wengi serious waliochangia thread hii (ukiondoa wale wa ushabiki), wengi wamekubali Chadema iko on the right track, Asanteni

  • Pasco.

With just 7 days to come, hakuna kipya cha kuwaambia wanabodi, bali ni kukumbushana tuu, tulisema nini, nini kimefanyika, nini kinafanyika sasa, na nini kitafanyika hizo siku 7 zijazo, yaani tarehe 25 October, kiukweli kabisa, sioni jinsi yoyote ya CCM kushinda tena!, Chadema inakwenda kuchukua nchi kiulaini kabisa kama imeokota!, yaani CCM inakwenda kuanguka chini kiulani kabisa kama kumsukuma mlevi!.

Lakini ili hili litimie, ni lazima kila aliyejiandikisha, ajitokeze hiyo tarehe 25, aende kupiga kura na kumchagua Edward Lowassa!.

If "Together wa can!", and "United we Stand", "Victory is ascertain!"

Nawatakia Jumapili njema!.

Pasco
 
With just two days to go, there is nothing new to say, yote yameishasemwa, sasa imebaki kukumbushana tuu, tulisema nini, nini kimefanyika, uchaguzi ndio keshokutwa Jumapili, nini kitafanyika siku hiyo, na baada ya hapo, tukutane tena wiki ijayo, au tupongezane, au tupeane pole!.

Nchi hii inaweza tuu kubadilishwa kwa watu wenye uthubutu wa kuchukua maamuzi magumu, na kusimama wahesabiwe!.

I'm very proud kuwa ni mmoja wa wapiga kura hiyo Jumapili.

Haya shime kwa wote waliojiandikisha, tujitokeze kwa wingi, tuitumie haki yetu ya kidemokrasia kujichagulia viongozi wetu,

We have to choose our leaders and love our choices and live with or without!.

Pasco
 
Mkuu Maganga Mkweli, watu kama nyie ndio tunaowahitaji kuwaelimisha ili mkubali kubadilika!.

Kuna watu wa aina mbili, kuna ma conservatives ambao wao thinking yao ni static, hivyo wako stagnant na hawataki kubadilika wala hawataki mabadiliko yoyote, na hawa ndio wale ambao ama wanaichagua CCM despite all the odds, ama hawajiandikishi, na wakijiandikisha, hawapigi kura!.

Kuna liberals, hawa ni pro democracy, thinking yao ni dynamic, and hence they change with time!.

Just imagine, uko na mkeo kipenzi mnayependana sana, na mko safarini kwa usafiri wa meli, then kumbe kuna jamaa mnafahamiana mlisoma wote unakutana nae mmepoteana siku nyingi, mnaanza kupiga story, kukumbushana mliko toka na ku recap wewe ni nani na yeye ni nani, ndipo anakutajia yeye ni binga wa kuogolea, na sasa ameajiriwa kikosi cha zimamoto na uokoaji, na wewe unamueleza ni kibosile shirika fulani!, mnaendelea na kupiga story melini huku safari inaendelea!.

Huku yeye huyo jamaa hamjui mke wako!, katika mazungumzo yetu, mnakumbushana stori za ujana, kupiga mitungo na kuliana chabo na kuchapiana!, mara mke wako anakuja kwa mbali kuelekea sehemu ya kujisaidia, baada ya kukuona na huyo rafiki yako na yeye anashtuka ila anajikausha na kuwapita kimya!, mara huyo rafiki yako kwa kuzingatia mapito miliopita naye wakati wa ujana, anaamua kukupasulia kuwa leo ni siku ya furaha kubwa sana kwangu, huyu demu aliyetupita hapa, alikuwa demu wangu tangu zamani, mimi ndiye niliyekata utepe, ila siku hizi kaolewa ila kwa bahati mbaya muwe wake sio bingwa, hivyo huwa ananiletea angalau mara moja kila mwezi kwa ajili ya kumservice!, tena kiukweli ni mtamu balaa, kwa vile mimi sijaoa, kila akiniletea huwa ninamshawishi aachane na huyo mume wake aje mimi nimuoe, ananikatalia kuwa hawezi kuivunja ndoa yake kwa sababu tuu mumewe hamfikishi, ila anampenda sana na anaamini kuna siku atamfundisha jinshi ya kumfikisha, na muda huo ukifika, hizo servises zangu za kila mwezi zitakoma!.

Mara mke anatoka washroom na jamaa ndio anakuwa wa kwanza kumuita, darling, sweet heart, honey, come and meet my old school buddy!, ili wife asiunguze picha, anasema sorry utakuwa umenifananisha, mbona mimi sikujui!, jamaa akamtaja kwa jina kuwa sorry fulani, najua unazunga kwa sababu tunaiba tuu najua umeolewa!. Ndipo wife wako akakutambulisha kuwa huyu ndiye mume wangu!, na bila kuchelewa ulianza kupokea makonde mazito mazito toka kwa mwenye mali na wewe japo ni jitu la miraba minne ungejibu mapigo ungeweza kuua, ulikubali kupigwa huku umetulia tuu kama malipo halali kwa wizi wako wa kumega tunda la watu!. Mkaamuliwa mkaachanishwa, mume na mkewe wakaendelea kugombana kwa ahadi mke akifika nyumbani atamtambua!. Safari ikaendelea!.

Huku na huku, huku safari ikiendeleo, wewe unashikwa na tumbo la kuchafuka, unamuaga mkeo kwenda washrom, wakati ukiwa washroom, mara kunatokea tafrani ya bahari kuchafuka na meli kuanza kuzama, yule mkuu wa kikosi cha uokoaji aningia kazini, abiria wanavishwa maboya ya kuogelea na kutoswa baharini hadi wanakwishwa kumbe kuna mshenzi mmoja alifanya over booking ya abiria mmoja zaidi ya maboya yaliyopo, hata hivyo maboya yalitosha abiria wote wametupwa nje limebaki boya moja la mwisho la bingwa wa uokoaji ambaye anatakiwa kutoka ndani ya meli na kuiach meli sasa izame, ndipo captain anauliza abiria wote salama!.

Ndipo yule mke anapga yowe mume wangu alikwenda msalani hapa simuoni, ndipo bingwa wa uokoaji anakwenda kukfungulia huku amekubeba mzobe mzobe, akavaa boya lake na kusema lazima mtu mmoja afe maji kwa sababu maboya yamekisha, hivyo anakuacha kwenye meli inayozama ukipiga mayowe, yeye anavaa boya la mwisho kujiokoa!, huku mkeo akikushuhudia unakufa huku unajiona, yeke mke akamuomba yule bingwa wa ukoaji, bora afe yeye boya lake apewe mume wake kwa sababu angalau ana kipato, akifa mume familia itaisgia kuteseka!.

Bingwa wa uogeleaji, akaingiwa huruma akaamua kujitoa yeye maisha yake, kunusuru wewe, hivyo anarejea melini kukunyooshea a helping hand by that time uko kwenye maji ya shingo!, atafanya nini?. Utasusakuokolewa na mbaya wako kwa kuamua kuliko kudhalilika, akufungulie mkeo, akulie mkeo, akuokolee mkeo na sasa akuokoe na wewe?!, au bora ugome, ufe kishujaa, huku jamaa ajitwalie mkeo kama ameokota na kuiendelea kuishi raha mustarehe?!.

Hiki ndicho Chadema itakifanya ikiamua kumpokea Lowassa, haina maana Lowassa sasa ndio msafi, bali ndiye mtu pekee mwenye ufunguo wa geti la kuingilia ikulu!, Chadema kama ni kweli sasa iko serious na inataka kuingia ikulu, haina budi kumuangukia na kumnyenyekea mwenye ufunguo wa geti la ikulu, hata kama ufunguo huo umechafuka vipi!.

Bhari ndio uwanja wetu wa siasa, bingwa wa kuogolea ndie Lowassa, mkeo ndio Ikulu, na wewe ndio Chadema, kinapaswa kumkumbatia aliyekuwa adui, na kumtumia kujiokoa ili isizame tena!.

Hizi ndizo siasa!.

Jumapili njema!.

Pasco.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio lazima lowasa awe rais aiseeee...na hawezi kuwa raisi sababu afai kuwa rais endeleeni kumpotosha tu.. mtavunja nguvu upinzani ulioanza kuimarika.. kwa uroho wa kura na wingi wa kufikirika wa wabunge walioshindwa kazi wakiwa ccm..kuna watu wengi mtawavunja nguvu mimi mmoja wao.. msimamo wangu uko wazi sina ushawishi chadema ila na ushawishi kwenye jamii inayonizunguka ntaimbia kama hili likitokea kuwa huu ni ulaghai wa kisiasa hakuna jina jingine..
mkuu bado upo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi, Preamble: "Kwa opinion yangu, Uchaguzi wa 2015, Chadema Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!"!Trend za Upepo wa Kisiasa kuelekea 2015, zinavuma kwa Kasi ya Ajabu kuelekea Direction ya Mabadiliko (The Wind of Change, is Sweeping Across Tanzania) na kila dalili inaonyesha na kuelekeza Chadema is gaining momentum and there is nothing to stop it kuchukua nchi mwaka 2015 iwapo...

Hivyo ndugu zangu viongozi wa Chadema najua 2015 mmedhamiria kwa dhati kuchukua nchi kwa ushindi wa kishindo!, lakini ili lengo hili litimie, ni lazima kwanza mkubali kusikiliza, pili mkubali kuzifanyia kazi hizi hoja na tatu mkubali kubadilika!.
Naomba kumalizia kwa nukuu kutoka kwa
Pasco.
Tayari Mafunzo hayo yameanza kwenye Kanda imara ya Nyasa na kwamba yatakuwa yanafanyika kwenye maeneo mbali mbali

Mafunzo haya hayana uhusiano wowote na Operesheni haki , haya ni mafunzo ya kuwaongezea maarifa na uwezo viongozi na wanachama wa Chadema nchi nzima , hasa ikizingatiwa kwamba kwa sasa CHADEMA ndio inayotoa viongozi wa Nchi

# HATUTANII
This is good, chelewa ufike, hili lilipaswa kufanyika toka 2010 ili 2015 Chadema ichukue nchi, japo sasa its already too little too late, but something is better than nothing.

P
 
Wanabodi, Preamble: "Kwa opinion yangu, Uchaguzi wa 2015, Chadema Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!"!Trend za Upepo wa Kisiasa kuelekea 2015, zinavuma kwa Kasi ya Ajabu kuelekea Direction ya Mabadiliko (The Wind of Change, is Sweeping Across Tanzania) na kila dalili inaonyesha na kuelekeza Chadema is gaining momentum and there is nothing to stop it kuchukua nchi mwaka 2015 iwapo...
  • Kama uchaguzi utaitishwa leo, Chadema itashinda kwa kishindo kikubwa cha ajabu, lakini ukiwauliza hao watakaokipa Chadema ushindi, ni sababu zipi za kuichagua Chadema, hawatakupa sababu yoyote zaidi ya kuichagua Chadema kwa sababu wameichoka CCM!.
  • ili Chadema iweze kupata ushindi wa Tsunami kwa uchaguzi wa 2015, lazima Chadema ikubali kubadilika, isiendelee kuutegemea huu umaarufu wa muda kwa kushangiliwa na umati wa watu walioichoka CCM, bali Chadema sasa lazima iwape Watanzania sababu za kuichagua Chadema!.
  • So far so good, Chadema is doing a good job chini ya Uongozi Shupavu wa Kamanda Mbowe na kinara wa M4C, Dr. Wibroad Slaa, Chadema is doing the right thing!. Doing the right thing alone, doesn't guarantee sweet clear victory for Chadema, it got to do things right!. Hii inamaanisha ili Chadema ishinde kwa kishindo kinachotakiwa, lazima ikubali kubadilika and start doing things right besides doing the right thing!.
  • Hivyo ndugu zangu viongozi wa Chadema najua 2015 mmedhamiria kwa dhati kuchukua nchi kwa ushindi wa kishindo!, lakini ili lengo hili litimie, ni lazima kwanza mkubali kusikiliza, pili mkubali kuzifanyia kazi hizi hoja na tatu mkubali kubadilika!
  • Asanteni

    Pasco.
Mzee paskal nowdayz hujawahi kuisemea mema CHADEMA !!
Karibu.
P
 
Wanabodi, Preamble: "Kwa opinion yangu, Uchaguzi wa 2015, Chadema Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!"!Trend za Upepo wa Kisiasa kuelekea 2015, zinavuma kwa Kasi ya Ajabu kuelekea Direction ya Mabadiliko (The Wind of Change, is Sweeping Across Tanzania) na kila dalili inaonyesha na kuelekeza Chadema is gaining momentum and there is nothing to stop it kuchukua nchi mwaka 2015 iwapo...
  • Hakuna ubishi kuwa siku zote, CCM imekuwa ikishinda chaguzi mbalimbali "kihalali" na mtaji wao mkubwa wa ushindi ni "watu".
  • Hakuna ubishi kuwa CCM kama chama, kimechoka, dalili zote za chama kichovu kinachosubiri kifo, tayari, zimeisha jitokeza kwa CCM, kinachosubiriwa sasa its only a matter of time ni lini kitaangwa rasmi, hiyo 2015 naiona kama vile ni mbali, unless wamsimamishe their one and only jewel!.
  • Hakuna ubishi kuwa wengi wa hao "watu", wamekuwa wakiichagua CCM sio kwa sababu wanaipenda sana!, (waipende kwa lipi?), la hasha!, "watu" wamekuwa wakiichagua CCM kwa mazoea tuu!.
  • Hakuna ubishi, kuwa wengi wa hao "watu" waliokuwa wakiichagua CCM kwa mazoea tuu, sasa wameichoka, hivyo uchaguzi wa 2015, hawatachagua tena chama kwa mazoea, bali watachagua chama kwa "sababu"!.
  • Hakuna ubishi kuwa Chadema, ndicho chama kinachokubalika zaidi kwa sasa kuliko CCM, hivyo ule mtaji mkubwa wa CCM iliyoutegemea kwa miaka nenda miaka rudi, sasa umehamia Chadema!.
  • Kama ambavyo CCM imekuwa ikichaguliwa kwa mazoea tuu, na sasa CCM imechokwa, vivyo hivyo kwa sasa Chadema haina lolote la kukifanya kipendwe, bali kinapendwa kwa sababu "watu" wameichoka CCM!.
  • Kama uchaguzi utaitishwa leo, Chadema itashinda kwa kishindo kikubwa cha ajabu, lakini ukiwauliza hao watakaokipa Chadema ushindi, ni sababu zipi za kuichagua Chadema, hawatakupa sababu yoyote zaidi ya kuichagua Chadema kwa sababu wameichoka CCM!.
  • ili Chadema iweze kupata ushindi wa Tsunami kwa uchaguzi wa 2015, lazima Chadema ikubali kubadilika, isiendelee kuutegemea huu umaarufu wa muda kwa kushangiliwa na umati wa watu walioichoka CCM, bali Chadema sasa lazima iwape Watanzania sababu za kuichagua Chadema!.
  • So far so good, Chadema is doing a good job chini ya Uongozi Shupavu wa Kamanda Mbowe na kinara wa M4C, Dr. Wibroad Slaa, Chadema is doing the right thing!. Doing the right thing alone, doesn't guarantee sweet clear victory for Chadema, it got to do things right!. Hii inamaanisha ili Chadema ishinde kwa kishindo kinachotakiwa, lazima ikubali kubadilika and start doing things right besides doing the right thing!.
  • Hivyo ndugu zangu viongozi wa Chadema najua 2015 mmedhamiria kwa dhati kuchukua nchi kwa ushindi wa kishindo!, lakini ili lengo hili litimie, ni lazima kwanza mkubali kusikiliza, pili mkubali kuzifanyia kazi hizi hoja na tatu mkubali kubadilika!.
Naomba kumalizia kwa nukuu kutoka kwa mmoja wa wanachama wetu humu jf.Kwa wale wapenzi wa Chadema, for sure, Uchaguzi wa 2015, Chadema inaweza kabisa Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If "Itabadilika" and provided that CCM haitamsimamisha yule mgombea wangu!. Japo ni vema kuwa na great expectations on Chadema kuchukua nchi 2015, only if Chadema itabadilika, vinginevyo keep hopping for the best na kama Chadema haitabadilika, you better get prepared for the worst kwa sababu 2015 itakuwa ni CCM Tena!.NB. Msiniulize Chadema wabadilike nini, wahusika wameshaambiwa imebaki kusikiliza na kutekeleza!.Naomba kuwasilisha.
Pasco.

Kama Chadema ingefuata ushauri huu, saa hizi zamani ingekuwa wako Ikulu ya Magogoni!.
You’re not honest my friend. Anyone can clearly see that you’re on a one track mission to bring CHADEMA down on its knees before the might of the state. For exactly what gratification OR how many “pieces of silver”? That remains to be seen.
Mkuu Drifter, honest and genuineness ya mtu inakaa ndani yake, ila pia ni kama ilivyo justice, must not only be done, but must be seen to be done!.

Ushauri honest and bonafide genuine must be seen with naked eyes.
Kama mtu anaye toa ushauri kama huu, unauona ni ushauri wa ki Yuda Eskariote na kuniulizia how many “pieces of silver”?, then naomba niheshimu mawazo yako kwasababu watu hatufanani, and we don't think the same!.

P
 
34 Reactions
Reply
Back
Top Bottom