Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,679
- 8,421
Kumekuwa na wimbi la wafanyakaziwasio waaminifu wa kampuni za simu kupewa pesa/kuhongwa na wapinzani wangu kibiashara/kisiasa kudukua mawasiliano ya sms/whatsapp/sauti za wateja wao. Je naweza kuishtaki kampuni na mtu aliyedukua mawasilianoiwapo ninao ushahidi wa kutosha? Kwa sheria ipi hasa? Adhabu yake ni nini? Wajuzi wa sheria naomba msaada.