Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,596
Vyoo vya aina vyote
Dada inaonekana we msafi sana itabidi nikuone sura yako siku mojaHii njia milifundishwa na bibi yangu na kwakweli ilifanikiwa kudhibiti harufu na tuliweza kuweka mkeka uani na kupiga story.
Ukinunua samaki wa bichi ukishawasafisha matumbo na mshamba na uchafu wote mwagia chooni ni papo kwa hapo harufu Keisha.