dah kweli kabisa alafu wanajifanya kila kitu wanajuaWengi wao ni magogo kitandani,wajeuri na waongo
kama mwanneSijawai kuwapenda ... Nataka mwajuma tu tit 4tat.....
Dah bongo zozo kwenye jukwaaBongo hakuna mshua proper.
Mpaka uchifu Nyerere aliusambaratisha, hata kina Marealle na Makwaia nao wamejimix.
Mshua inatakiwa ukoo wote uwe wa kishua. Tangu ka la ya uhuru.
Sasa unaambiwa huyu kwao washua wakati ushua wa kusomeshwa na Nyerere juzi hapa?
Basi tu watu wanajimwambafy na kusonona bure.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kula uliwe kichwa, unakula k.. unaliwa kichwa yaani k... kwa k...Kuna katoto kakishua hivi nimepotezana nako wazee dah inauma kinoma yani hata sijala ila nitakatafuta tu ngoja kamalize shul..! 30 mingi sana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Niliwahi kukabirika kitoto Cha kishua alafu kikashindwa kutembea,
Wazazi wake walinitafuta ila hawakunipata, ni stori ndefu,
Kama wazazi wake wapo humu nawaomba mjue kuwa aliyem,birika mtoto wenu sio Mimi,
Nimeandika tu
usinikumbushe nilivyo jifanya nmepotelewa na kuku mpk ikafika siku nkamrusha kuku wangu kweny fensi yao nkamfata nkamkuta mma yke getini akamuita ye akatoka kwenda dukani mpk anarud nxhamalza kazi
Ikawa ndyo njia coz tuko jrani ,siku hyo nkamrusha tena kumbe mbwa wao ajafungwa alivyo mfanya yule kuku mpk nkapata hasra
ila bdae nilkuja kusepa pale na hakua na simu yeye
Awe ametoka kwenye familia inayomiliki viwanda/hoteli tano na kuendeleaHivi mpaka awe na kitu gani ndo tumwite wakishua?
Bongo hakuna mshua proper.
Mpaka uchifu Nyerere aliusambaratisha, hata kina Marealle na Makwaia nao wamejimix.
Mshua inatakiwa ukoo wote uwe wa kishua. Tangu kabla ya uhuru.
Sasa unaambiwa huyu kwao washua wakati ushua wa kusomeshwa na Nyerere juzi hapa?
Basi tu watu wanajimwambafy na kusonona bure.
Ninayokubaliana nayo sijibu sana.Mkuu hivi kuna jambo umewahi kukubaliana nalo kweli bila ubishi wa hapa na pale? [emoji23][emoji23]