Kudanga Vs uchangudoa: tofauti iko wapi ?

vvm

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
6,246
10,225
Wasalaam wakubwa na wadogo ,
Siku hizi msemo wa kudanga umeshika sana momentum yaani tena waziwazi kina dada wanakwambia sina kazi yeoyote nina danga tu, hivi kuna tofauti kati ya kudanga na uchangudoa hadi watu wajitoe ufahamu na kuona udangaji kama moja ya kitu halali kabisa ?
Nawasilisha...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
According to wanaodanga maana yao ni kwamba wao wanaona ipo tofaut kati ya kudanga na uchangudoa as in anaedanga huwa anatafuta mtu mwenye hela ya kutosha ili aweze pia kumfanyia mambo makubwaa kama kununuliwa nyumba na gari na mengino ili hali changudoa yeye anatafuta pesa kidogo tu ya kujikimu na kutatua matatizo yake madogo madogo
 
Kwahiyo udangaji ni umalaya wa gharama zaidi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kama tu wakati fulani wanasiasa walipokuja na msamiati "takrima" ili kujipa moyo kuwa hiyo si rushwa
Wasalaam wakubwa na wadogo ,
Siku hizi msemo wa kudanga umeshika sana momentum yaani tena waziwazi kina dada wanakwambia sina kazi yeoyote nina danga tu, hivi kuna tofauti kati ya kudanga na uchangudoa hadi watu wajitoe ufahamu na kuona udangaji kama moja ya kitu halali kabisa ?
Nawasilisha...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni biashara moja tofauti ni uendeshaji tu....changudoa anaweza lala na wanaume hata saba kwa siku,ila wadangaji akimpata danga anakomaa nalo na anaweza kudumu nalo kwa mda flani..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: vvm
Vyovyote iwavyo, kuna kutoa mbunye ili apate pesa. Mengine ni mbwembwe tu.
 
  • Thanks
Reactions: vvm
According to wanaodanga maana yao ni kwamba wao wanaona ipo tofaut kati ya kudanga na uchangudoa as in anaedanga huwa anatafuta mtu mwenye hela ya kutosha ili aweze pia kumfanyia mambo makubwaa kama kununuliwa nyumba na gari na mengino ili hali changudoa yeye anatafuta pesa kidogo tu ya kujikimu na kutatua matatizo yake madogo madogo
Oooh kumbe kudanga ni level kubwa ya umalaya!!!

Anyway nimependa ulivyoanza mbaali kwa kuji-exclude "ety according to wadangaji" ahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi wateja wamepungua huko walikokuwa wanajiuza. Saizi ni mwendo wa kimya kimya, kuwafuata wateja popote walipo.

So, wanajiuza indirectly. Wadangaji ni wale wale waliotoroka kambi ya madada poa; japo wapo wachache ambao siyo type ya kupanga foleni viwanjani.

Tuwe wapole tu, maana wao wauzaji nasi ndiyo wanunuzi wakuu.

Hakika wateja nisisi ila tahadhari tuzichukue kwani now nimeona hakuna utofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom