Kudanga Vs uchangudoa: tofauti iko wapi ?

Kudanga Vs uchangudoa: tofauti iko wapi ?

Oh! Kumbe eh!

According to wanaodanga maana yao ni kwamba wao wanaona ipo tofaut kati ya kudanga na uchangudoa as in anaedanga huwa anatafuta mtu mwenye hela ya kutosha ili aweze pia kumfanyia mambo makubwaa kama kununuliwa nyumba na gari na mengino ili hali changudoa yeye anatafuta pesa kidogo tu ya kujikimu na kutatua matatizo yake madogo madogo
 
Wasalaam wakubwa na wadogo ,
Siku hizi msemo wa kudanga umeshika sana momentum yaani tena waziwazi kina dada wanakwambia sina kazi yeoyote nina danga tu, hivi kuna tofauti kati ya kudanga na uchangudoa hadi watu wajitoe ufahamu na kuona udangaji kama moja ya kitu halali kabisa ?
Nawasilisha...

Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti ipo kwasababu mmoja anauza changudoa anauza Papuchi directly halafu mdangaji anauza indirectly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalaam wakubwa na wadogo ,
Siku hizi msemo wa kudanga umeshika sana momentum yaani tena waziwazi kina dada wanakwambia sina kazi yeoyote nina danga tu, hivi kuna tofauti kati ya kudanga na uchangudoa hadi watu wajitoe ufahamu na kuona udangaji kama moja ya kitu halali kabisa ?
Nawasilisha...

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kazi ndogo kutofautisha hizo taaluma mbili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom