Kudadadeki Vita mpya kati ya Manara na Mwijaku imenoga

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,006
Reaction score
126,388
"Mwijaku asiwaongopee watu kuwa amejenga atuonesha hati kama kuna jina lake mke wake ana msitiri tu kuishi kwake alichokisema @officialbabalevo kina ukweli ndiyo maana alikaa kimya" Alisema Haji Manara.

Chanzo Taarifa: manaratv

Ila Haji Manara muhuni sana Wewe jamaa yaani hata hujaogopa kusema kuwa Mwijaku Kajaaliwa Umbile zuri Mashaalah?
 
Kwa vita hivi ninaburudishwa sana na makombora ya Manara, yanaripuka na kumsambaratisha adui!

Mwijaku hadi 'kufufuntika' kichwa chake kwenye udongo, Manara kajitwalia ushindi.

Sikutegemea kama Mwijaku anaweza kumtuma mkewe amtetee kwenye media, sikutegemea!
 
Upuuzi unaoshabikiwa na wapuuzi
 
Anazungumzia maumbile ya wenzake, yeye ukimwita zeluzelu anakupeleka polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…