Kudadadeki malipo ni hapa hapa duniani kumbe kuna Mtu Kakimbiwa na Mkewe, ila Watu wa Media na Wadhamini wake wanamfichia Siri

Gentamycine umekuwa mtu wa udaku kama kigogo2014
 
Hata kisarawe kuna Masaki, hasikuumize akili fala huyu.

Ukiona mtu anajifanya kila kitu anajuwa na kila mtu anamjuwa yeye hujuwe hapo kuna tatizo bora hata huyo Haji yeye anajuwana na matajili tu wanaomuwezesha.
Juha mkubwa Wewe naona umeumia sana Kukuambia nimezaliwa Masaki na sasa nakuongezea Nyumba niliyozaliwa hapo hapo Chole Road Jirani zangu walikuwa ni Balozi Masilingi, Mzee Mmari ( Profesa ) na Nyumba ya mwisho aliishi Waziri wa Ardhi sasa Mzee Lukuvi.

Na Kuzaliwa pia nimezaliwa Agha Khan Hospital iliyo Jirani na Ikulu yako na baraka ya Kwanza niliipata kutoka Kwake Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Mkewe Mama Maria kwa Kunibeba na hata Jina langu halisi alilolitoa ni Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Lofa na Juha kama Wewe haunisumbui.
 
Kibaya zaidi Mmoja wa Wafadhili wake alipo sasa anamkazia pamoja na Yule Mwandamizi Mstaafu ndani ya Chama chake alichowaibia Magari na Kuyauza Kitapeli.
Kweli kabisa, dogo anaishi mjini kimagumashi sana.....alifikiri atawachezea watanzania akili vile atakavyo, kumbe watu walikuwa wanamchora tu.
 
Ee bwana eee, kumbe ndiyo maana alikuwa anapenda kukata mauno mbele ya kadamnasi, sasa naelewa,
 
Si wanasema ni ustadhi yule jamaa sasa vipi tena. Ila kwa kauli zake zile sidhani kama kuna mke wa kuishi nae.
 
Kumbe tunaongea na watoto hapa au unajikweza bila kuwa na ufahamu wowote ule masikini mkunduh kunuka.

Tuliozaliwa Dar, hasa miaka ya 70's maternity ilikuwa ni ocean road, ukimwambia mtu yeyote muelewa umezaliwa hospitali nje ya ocean atakushangaa sana na magumashi yako ndio yatakuwa hadharani.

Muhimbili medical center haikuwa na martenity by that time usiongelee kabisa Agha Khan.

Madaktari Bingwa wote wanatoka Muhimbili National hospital Kumer wewe mbumbumbu kabisa fukara namba moja JF Nzima.
 
Hopeless Wewe..... Mwanaume kukimbiwa na Wake mara Mbili ni Sifa? Sasa kama si Aibu mbona anahaha Kuficha hili Jambo na hatimaye Mfukunyuaji Mightier nimelipata kama lilivyo?

Mwambieni aendelee tu Kubwabwaja!!
Ulitaka aweke matangazo mitaani kuwa kakimbiwa na mkewe? Ukikimbiwa na mke unapata mwingine, wanawake wapo wengi.
 
Kuna watu wa kuwacheka wakikimbiwa na mke lkn sio Bugatti,navyomuona yule jamaa hata afiwe na Baba au mama wiki tu anakuwa mtu yule yule wa kila siku sembuse mke?
Yule jamaa labda akatike mikono au miguu ndo umcheke.
 
Haya kaolewe wewe sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…