Kucomment kila saa sio mtu huna kazi

Kucomment kila saa sio mtu huna kazi

Hili ni kama sinia pakua unachoweza, ukipambana na hii hali utawehuka..mfano mi na comment hapa nipo shamba la nyege, mwingine yupo senge, mwingine mchamba wima, kagongwa mpaka kahama..wote tunabofya bofya, sasa kila mmoja ana akili yake..we fanya yako ilimradi hutukani mtu...
 
Back
Top Bottom