Kucomment kila saa sio mtu huna kazi

Kucomment kila saa sio mtu huna kazi

Kuna watu kazi yao kuchunguza huyu mbona muda wote yupo hewani, sijui ana komenti pumba mara uzi hazina maana ina kuhusu nn sijakuomba pesa ya kula wala haunichangi bando, Tanzania yetu ina uhuru tusipangiane namna ya kuishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea,wengine kazi inayowapa kipato ni kupost tu,na kurudi kulala.
 
Back
Top Bottom