Kuchoshwa

Kuchoshwa

MduduWashawasha

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2008
Posts
1,653
Reaction score
605
Bibi 1 kachoshwa na tabia za mume wake,siku moja kwa ghadhabu akasema bora
ningeolewa na iblisi kuliko wewe
mumewe akamjibu dini hairuhusu m2 kuolewa na kaka yake
 
Bibi 1 kachoshwa na tabia za mume wake,siku moja kwa ghadhabu akasema bora
ningeolewa na iblisi kuliko wewe
mumewe akamjibu dini hairuhusu m2 kuolewa na kaka yake
Kwa hiyo jamaa ni mdogo wa Ibilisi. Kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeeeeeeh.
 
hahahahahahahaha! dah! ibilisi ni kaka wa bibi anayetaka kuolewa naye, hooop
 
hahahaaaa
Ukimwambia wife wako hii lazma akusanye kilicho chake
 
kwa jibu hilo bibi atakuwa alizidi kuchoshwa na huyo babu.
 
Caution: Ukiwa ukweni please usijaribu kuingia sehemu ya jokes katika jamiiforums, unaweza kuonekana chizi mbele ya mama mkwe...............
 
Majibu watu wanayojibiana kwenye ndoa ni utata nayakusijitisha kweli
 
Back
Top Bottom