Kuchepuka raha

Mwanamke hayo unayo yasema lazima yatakuwa yana toka moyoni kwa mwanamke mwenye roho ya uzinzi ndani yake...ndiyo maneno yako yana mkosoa Mungu pale aliposema ndoa na iheshimiwe na watu wote.....maandiko matakatifu yanasema " mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake bali mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe"

Sijui kama uwehi kuwaza athali utakazo pata kwa uamuzi wako huo wa kipepo...

Umeamua kutenda jambo litakalo angamiza nafsi yako mwenyewe... Kumbuka kuna maisha baada ya maisha haya.
 
Ni kweli ngabu, lakini unajua hata wale wachache ambao bado wapo innocent wakisoma jinsi wenzao wanavyohalalisha michepuko, nao wanashawishika kujaribu. Bado kuna wanawake waaminifu, japo idadi inapungua kila siku.
 
We mchungaji wa wapi? unavyosema mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake mwenyewe hizo ndoa zinazovunjika kila siku ni mwanamke amevunja? Angalia source ya tatizo ni nini
 
Umemdharirisha mmeo kusema anakibamia na pia hayo sio maamuz sahihi kuchepuka ila utakuja kujuta cku moja kila la heri na mchepuko wako
 
Kwa ujanja upi mbona unatmbewa???
Unadhani hata asilimia za mkemia wanakubali? Jipe moyo



shukuru Mungu wako sijakuoa mimi huo mdomo ningeuweka super glue.


sio na jipa moyo najiamini maisha yangu huyajui wewe Mrs bogasi.


sijui mnawapata wapi wanaume wa hivyoo kuwaendesha na kushindana
 
shukuru Mungu wako sijakuoa mimi huo mdomo ningeuweka super glue.


sio na jipa moyo najiamini maisha yangu huyajui wewe Mrs bogasi.


sijui mnawapata wapi wanaume wa hivyoo kuwaendesha na kushindana
yani wewe unayepanick hivi kwa maneno ya keyboards
hakiiii WEWE UNGENIOA MIMI HAKUNA RANGI UNGEACHA KUONA!
 
AHAHHAHAHAHAHAA wanajipa mapana ya koti tu hapa!
kende ziancheza huko waliko!
 
Wanaume wenzio muda huu wanapiga mahesabu na kupiga story na watoto zao we uko busy kwenye mkeka kubishana na wanawake, alafu eti mkeo asichepuke!!! Thubutuuuu!
hahahahahhahahhHHH huu muda amekaa na anabishana na sisi tuko kama sita tunapokezana !
yeye peke yake manake ameshinda humu!

kama ni simu sijui muda gani kamtakia hata hali mkewe!
yet anajipa moyo HACHEPUKI,sijui mimi mwanamke hanifanyii huu ujinga!
AHAHAHAHHAHAA hakyanani!
 

Ni muhimu kukumbuka kuwa kila jambo lina mwisho, na mwisho wa jambo moja ni mwanzo wa jambo lingine. Mwisho wa wewe kuwa duniani ni mwanzo wa wewe kuonana uso kwa uso na Mungu anayekuona na asiyependa unayoyafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…