Kuchepuka raha

Na Yesu alisemaje vile walivyotaka kumpiga mzinzi? Na ni akina nani walikuwa wanapiga mawe, kama sio wanaume!! Ndio ujue roho mbaya mmeanza siku nyingi ndio maana Yesu aliwanyoosha.
 
Mwenye masikio na asikie
 
Hilo neno '' yes'' likimtoka maelezo mengine atayaendeleza tukiwa kaburini. Kwanini asinidanganye kuwa pamoja na kuvua nguo lakini dudu haikuingia? Aone kama sitamsamehe? Kukubali ni dharau kubwa sana
Nivue nguo dudu isiingie? Acha masihara basi
 
Umehitimisha kwa busara kabisa. Aliyekuelewa na akuelewe!
 
Yaani wewe kama mkeo hachepuki atakuwa anaumwa kifafa.
 
Yaani wewe kama mkeo hachepuki atakuwa anaumwa kifafa.





unafikiri mke wangu anafikiria kama wewe.
unafikiri kuku wa kisasa.

mda huu unatakiwa uwe unapika na kuwa saidia watoto home work.

uko bizee kubishana na waume zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…