Maumivu anayo pata mwanaume akigundua mke wake anachepuka hayamithiliki, chakula hakiliki, kazi hazifanyiki, kitanda hakilaliki, kila kitu ni shaghalabagala. Kwenye mada hii wanaume tulio oa hatubishani maana inagusa moja kwa mojaKwani anachomwa mwanamke peke yake? Na mwanaume atachomwa, hivyo kama ndivyo wote tuache kuchepuka ili tuwe salama.
Umeonesha busara hadi nimetamani kuwa mchepuko wako, naomba nafasi tafadhali.
Thanks in advance
wanaume hapa wanakupinga sana,kisa umefanya wewe mwanamke ila angekua mwanaume mwenzao ndo kafanya hivi wangempongeza na kumwona mjanja.....
mama just do what makes you happy katika maisha yako ila tu uwe makini na magonjwa,yani kabinadam kamoja ndo kakukoseshe amani mtoto wa watu loh...u deserve better mama...
Maumivu anayo pata mwanaume akigundua mke wake anachepuka hayamithiliki, chakula hakiliki, kazi hazifanyiki, kitanda hakilaliki, kila kitu ni shaghalabagala. Kwenye mada hii wanaume tulio oa hatubishani maana inagusa moja kwa moja
Haha haaa huyu espy nahisi ndio kungwi waooMkuu andjul inabidi tuwe wapole tu hawa Mabeijing noma sana.
hAHAHAHAHA WHO CARES ANYWAYS!usengerema ndo nini???
kwa jinsi ulivyo mme wako asipo chepuka atakuwa zoba wa mwisho.
Acheni kumtusi si tayari kapata size yake tatizo nini? Habari ya mawe ya nini sasa.Km unaona ya mumeo ni kibamia basi wewe utakuwa una bwawa ndio maana unahitaji miti na mawe yaingie humo ndio bwawa lijae!!!
Hongera kwa kulitambua hilo wenzio wakikosa wanageuzia wake zao kibao na kuangushia wakezao jumba bovuMimi nilijifunza toka Jogoo halijachwa..
Kuna mambo hayahitaji ujuaji na ubishi ubishi usio wa lazima.
Kiburi na kupuuzana puuzana hakuna sababu, hakuna aliye malaika tukikosena tusameheane kwa yenye kustahili msamaha.
Tukizidisha makwazo "watagongwa tu" kwani kwa vigezo hivyo hivyo vilivyonivutia Mimi na mwingine vitamvutia ataombwa na kwa sababu ya stress wala hatagoma. Hakuna mshindi katika haya mambo anaweza kuliwa na wala usigundue kabisa.
Mimi kwa Kujiamini Kabisa Nimejifunza na kila uchwao najifunza na kubadilika ili kuboresha mahusiano na mke wangu. Once nikikengeuka sitajisahau, hakuna La maana sana huko michepukoni zaidi ni kujiongezea cost za maisha tu.
Hilo neno '' yes'' likimtoka maelezo mengine atayaendeleza tukiwa kaburini. Kwanini asinidanganye kuwa pamoja na kuvua nguo lakini dudu haikuingia? Aone kama sitamsamehe? Kukubali ni dharau kubwa sana
Kwanini adanganye? Ningekua mie ningemalizia yes but... Viwili tuHilo neno '' yes'' likimtoka maelezo mengine atayaendeleza tukiwa kaburini. Kwanini asinidanganye kuwa pamoja na kuvua nguo lakini dudu haikuingia? Aone kama sitamsamehe? Kukubali ni dharau kubwa sana
Yesu alipolekewa mwanamke alifumaniwa aliwambia yuko wapi mwenzie kwani alikuwa anazini pekeyake? Asiye kuwa na dhambi awe wakwanza kimrushia jiwe nani alianza kurusha kama hawakumuacha yeye na Yesu pekeyake? Paul mwenyewe aliwambia mkiweza muwe kama mimi la huwezi unawaka tamaa oa mke sio oa wakeKwenye Bibilia tunasoma kuwa mwanamke alikua akifumaniwa kwenye uzinzi basi anapigwa mawe hadi kufa, hakuna mstar hata mmoja uliozungumza kuhusu mwanaume aliyefumaniwa that means mwanaume hafumaniwi bali ni miongoni mwa majukumu yake, sasa nyie endeleeni kubishana na nature!!!
Wewe fanya ruksa hakuna anayekukatalia ila jua mwenzi wako nae anafanya full stop.ukisubiri atapigwa mawe unajichosha aisee.Kwenye Bibilia tunasoma kuwa mwanamke alikua akifumaniwa kwenye uzinzi basi anapigwa mawe hadi kufa, hakuna mstar hata mmoja uliozungumza kuhusu mwanaume aliyefumaniwa that means mwanaume hafumaniwi bali ni miongoni mwa majukumu yake, sasa nyie endeleeni kubishana na nature!!!
Wanaobisha wengi hata hawajaoa! Ukute ni form six anajidai mjuaji.Maumivu anayo pata mwanaume akigundua mke wake anachepuka hayamithiliki, chakula hakiliki, kazi hazifanyiki, kitanda hakilaliki, kila kitu ni shaghalabagala. Kwenye mada hii wanaume tulio oa hatubishani maana inagusa moja kwa moja
Na wote tuseme AMENON A VERY SERIOUS NOTE!
LAITI WEWE NI MWANAUME!
UNA FANYA MAMBO HAYA MIONGONI MWA YALIYOANDIKWA HAPA!
MKEO AWE ANAJUA AU HAJUI(MAANA WE ARE GOOD AT MAKING YU FOOLS PIA)
NAWEZA KABISA KUJIFANYA SIJUI LOLOTE NA NISIKUULIZE LOLOTE!
so KUTOKUULIZWA KUSIWAPE IMANI KUWA WAKE ZENU HAWAJUI MNAYOYAFANYA!
niwasaidie tu kaka znagu!
WAKE ZENU WANAPIGWA MITI HUKO NJE BALAA!
NA I AM TELLING YU ,THE RATE WALA SIO HIYO MNAYOFIKIRIA!
ITS WORSE!
KIUKWELI WANAWAKE WANACHEPUKA KULIKO WANAUME!
MNAAMINIGA IT IS THE OPP!SIO KWELI!
MMEWAFIKISHA WANAWAKE MAHALI HAWANA TENA NGUZO YA KUSEMA NALINDA NDOA,NAJIKINGA NA MARADHI,NATAKA HESHIMA YANGU!
KWA AINA YA MAISHA MNAYOISHI!
HAYA YA KUTOKUWAJIBIKA NA FAMILIA,UMALAYA,MAKWAZO,ULEVI,UZINZI WA KUTISHA KABISA,YA KAGOLI KAMOJA KWA WIKI,MENGINE UNAWAWEKEA WENGINE , I AM TELLING U
HAKUNA MWANAMKE ATAKUWA NA MWANAUME WA AINA HIYO AKAWA TU ANAKUANGALIA ETI MKE MWEMA!
kuna vitu vinawaondolea AUDACITY KABISA YA KUDEMAND HESHIMA YA KUWA WAUME !
MJIREKEBISHE!
MBADILIKE!
NDOA HAIKUFUNGWA NA MTU MMOJA!
MSIWAACHIE WAK ZENU JUKUMU LA KUDUMISHA NDOA!
MNABUGI MBYAAAA!
andjul Mkuu nakubaliana na wewe kwa 100%, Mimi muda mrefu nilishakiri Uponyaji Kupitia "ubatizo wa Moto" kuwekwa kati na Hawa Wabeijing sio jambo jepesi ukaendelea kushupaza shingoI have my testimony kwenye haya Mambo. Mimi kupitia hawa Wabeijing Humu nimejifunza an huwa najifunza sana sana tabia zao an sio siri nakuwa reshaped katika life aspects nyingi tu.
Tuache Ubishi usio na ulazima sio siri tunachangia kwa asilimia nyingi tu kutengeneza tabia mbaya kwa wenzi wetu.
Biblia imetungwa na wanaume. Sheria zimetungwa na nyie nyie ili kukandamiza jinsia ya kike.Kwenye Bibilia tunasoma kuwa mwanamke alikua akifumaniwa kwenye uzinzi basi anapigwa mawe hadi kufa, hakuna mstar hata mmoja uliozungumza kuhusu mwanaume aliyefumaniwa that means mwanaume hafumaniwi bali ni miongoni mwa majukumu yake, sasa nyie endeleeni kubishana na nature!!!