chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,180
- 25,418
Hongera baba mwenye nyumba
Ananipa maana hutoi. Wacha usaidiwe hakuna namna!atakae kupa nyege akumbuke kukupa na hela ya salon na mafuta
Ukweli ni kwamba mtakufa kwa ukimwiToka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Kuna mdau kaomba namba ...Mpe! ..maana hata huo mchepuko wako wa Sasa ni kibamia na haujui kitu.Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Bora wewe unayejitambua! Wengine ni majipuUkweli ni kwamba mtakufa kwa ukimwi
Hapa nakwambia ukweli kabisa kwani wote wanne hamtumii kondom
Anzeni kupanga jinsi gani watoto wenu watabaki yatima
Kwa maisha ya sasa kubaki yatima ni mateso makubwa sana.
Naomba leo joon wakusanye wanao alafu uwatizame sana
Piga picha siku utakapo kuwa kwwnye jeneza kwa kifo cha kujitakia
Ooooo my God
Hakika ngono inawatafuna wanandoa weeeengi na wameacha watoto yatima weeeengiii wakihangaika bila kosa
HANA AKILI MTU AZINIYE NA MWANAMKE
Ni aibu sana kwa dunia ya sasa ambapo kila mzazi anahangaika kwa ajili yabfamilia yake alafu nyie Mr na Mrs
Mnashindana kwa uzinzi
Hakika Mungu awape roho ya kujitambua mkatubu na kusameheana muanze mwanzo mpya for the sake of your future familly
Nawapenda sana.........na nimesikitika kwani nami ni mzazi ninaependa sana wanangu
Ananipa maana hutoi. Wacha usaidiwe hakuna namna!
Adui wa mwanaume ni mwanaume.
Bado haijafika, tunapeana kwanza ushauri njia nzuri ya kuchepuka ili msigundue msije tuchoma moto bureeee!!!
Naelewa kutmbewa kunauma naelewanimekupangishia?
sindano ya takoo imekuingia unaanza kutoka njee ya mada. subiri nikuandalie kristapen nakupiga moja ya takoo lazima ukiache icho kimchepuko chako. kisichojua ata garama za kumhudumia mwanamke.
Naelewa kutmbewa kunauma naelewa
Acha hasira Pokea hongera kwani sh ngapi
Ahsante kwa mleta mada hii(kisia) maana nimejifunza mengi sana juu ya mke. Mwanzo wa mada kisia amesemwa sana kama ametenda kosa kubwa sana (ni kweli) lakini ujio wa hawa wadada Ms. Lincoln, demi, Heaven Sent, miss chagga, Nalendwa, Evelyn Salt, ringson, espy, LadyRed, Msweet, Go mi num, firstLady 1,nao,...hakika,wanaume tuna la kujifunza na lazima tukubali kuwa sisi ni wajinga kiasi fulani. Hakuna haja ya kuombewa maana hicho ndio kilio cha wanawake wengi walio kwenye ndoa, tubadilike kwa hiari. Naona aibu hata kumuangalia wife tangu jana (kaa nami Bwana Yesu peke yangu siwezi). Mkuu Ngoda 95 na wengine tubadilike, tuwajali hawa viumbe. AMEN
Wacha we!! Haya.all men are respected, even the poorest man on earth is respected.. ukizaliwa mwanaume haijalishi una hela au huna wewe ni mfalme
Muda upi umepita ndugu? Wa chuo ni wa chuo na mimi ni mimi. Kuna ambao wananiona mbichi nafaidi kwa watu wazima wenzangu. Level zako ni watoto wa chuo! Nishapita kitambo na maisha hayarudi nyuma. Utu uzima dawa....sawa mama Jovan. ila huoni mda wako umepita waachia watoto wachuo bado wamoto.
njoo nikunong'oneze kingne walichonacho wewe huna@@@@@@@@@zao zinabana.
Huu uzi umeshikiaAiseeeee! Bado tu hii risala inaendelea?
Kwa somo la leo, nisipo elewa basi hata shetani atanikana siku nikimsingiziaWow, hongera sana kwa kujitambua na Mungu Akusaidie ki ukweli!
Muda upi umepita ndugu? Wa chuo ni wa chuo na mimi ni mimi. Kuna ambao wananiona mbichi nafaidi kwa watu wazima wenzangu. Level zako ni watoto wa chuo! Nishapita kitambo na maisha hayarudi nyuma. Utu uzima dawa....
.
.
Muda wa kuzeeka ukifika nitazeeka tu. Bado sanaaaaaa! Tena umri nilionao sasa hivi ndo nafaidi vizuri hiyo kitu!
Aiseeeee! Bado tu hii risala inaendelea?