Kuchepuka raha

Lkn kwa hapo mkuu hujapata suluhisho la tatzo, ni bora uongee na mwenza wako, au km unahic uko kwa mchepuko kuna raha zaidi achika hapo ili ukaolewe na huo mchepuko.
Heshima ni kitu cha bure, jali utu wako shosti, ww ndio unaathirika zaid na hao wanaume wanakudharau tu.
 
Mumeo kwani alikukuta bikra?
nimehisi kama utakuwa umeuliza kwa jazba sana mkuu. Hii mada ni ya wenzetu wa upande wa pili, acha wajimwayemwaye. Kiumbe cha kiume hatuna ujanja na mada hii
 
Eeh kama msemo wao unafanya tu ila asijue. Ndo heshima hiyo
 
Yaani kama tulikuwa tunafikiria the same, hahahaaa!! Wao si ndio vichwa!! Walete suluhisho maana hata watuchome moto hatuachiii hadi na wao wajitambue.
Uje uongee hivyohivyo mbele ya watu wanaojielewa,utaona reaction yake,na utaongeza hadi idadi ya wanaume watakaokufuata waje wale mzigo kisirisiri kwasababu ni aibu kua na mwanamke mzinzi badala yakua msaada kwa mumewe.
 
hujanipeleka shule wala hujanilipia ada kama huwezi kuandika kiswahili utulie.

nauhakika ninacho kiandika HACHEPUKI.
Sio jukumu langu kukupeleka shule mkuu. Mlaumu aliyekupeleka! Hapa naandika lugha inayoeleweka na kila mtu..hata mtoto wa nursery anailewa. If you dont understand thats not my problem but yours! Si lazima ujibu usichokielewa. Pita tu hivi....
 
Unaona ni mbwebwe lkn moyoni mwako ukweli unaujua. Mshahara wa secretary hautoshi kunifanya niishi? Kwani kwa mume zaidi ya tendo la ndoa napata nini? Chakula?



kama ulikuwa unajua hupati kitu mbona kipindi cha uchumba ulitumia nguvu kubwa sana kusaka ndoa mpaka leo sugu za magoti hazijaisha. ulikuwa unasali mdogo wangu ata Musa wa biblia ulimpita kwa kusugua goti.


kama hupati kitu dai talaka uone nywele zitakavyo nyonyoka.
 
Taratiiiibu tu hamtotushangaa tena!! Time ll tell. Hata mbuyu ulianza kama mhicha, so just chill n watch.
 
Uje uongee hivyohivyo mbele ya watu wanaojielewa,utaona reaction yake,na utaongeza hadi idadi ya wanaume watakaokufuata waje wale mzigo kisirisiri kwasababu ni aibu kua na mwanamke mzinzi badala yakua msaada kwa mumewe.
Kweli ni aibu kuwa na mke mzinzi hata mi nakubali maana hata mimi naona aibu kweli mume akiwa mzinzi!
 
Kwakweli huwezi kubishana na asili, mwanamke ukishikwa na ugwadu huku mume anakitembeza nawe kitembeze tu usishindane na nature.
Duuuh! atakayefuata ushauri wako,hakika atakua hajui nini maana ya nature na tutachelewa sana kuoa kama ndo hivi kwasababu baadhi ya wanaume watakua wanakula wake za watu na mademu ambao hawajaolewa,na kikawaida mke wa mtu hana gharama,sipati picha vijana wenzangu wanavyofakamia madada au akina mama wenye mtazamo kama wako.
 
Sio jukumu langu kukupeleka shule mkuu. Mlaumu aliyekupeleka! Hapa naandika lugha inayoeleweka na kila mtu..hata mtoto wa nursery anailewa. If you dont understand thats not my problem but yours! Si lazima ujibu usichokielewa. Pita tu hivi....


umetisha miss ulaya rudi kwenye mada acha kuruka ruka kama vile unacheza nage.


icho kingereza ulichokiandika ni tense gani?
 
Mortuary akafanyaje sasa? Haha watuombee tu
Hakuna cha kwenda mochwari wala icu, unaendaje kwamfano na watoto wanamtaka baba yao. Kwanini hawana uvumilivu hivyo jamani, si tuliapa kuvumiliana. Hebu waombe huko!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…