Mume akitaka apate muda wa kuwa na kimada wake lazima aanzishe timbwili nyumbani. Kitu kidogo utafokewa wee ili ujibizane nae apate ticket ya kununa na kuchelewa kurudi nyumbani.
.
.
Dawa yao ni kukaa kimya. Akianzisha timbwili unamuangalia tu, abwabwaje achoke! Na wanaume wa siku hizi sijui wametokea pande zipi yaani wanapenda kununanina na maghubu kama wanawake.
Sawa mkuu, ndo muwape ushauri mzuri wenzenu, wasije wakaishia kwenye keleb au kuishia kufanywa mishkaki.Sawa ndugu...mpe mpe keleb za kutosha!!
Wanasema eti wanajinunisha ili wasiulizwe maswali wakirudi nyumbani.Ndo hapo sasaharafu kinachomununisha sijui kitu gani! Uende kwa raha zako,harafu uninunie mie,ndo maana nawaambia wajifunze kwa wanawake hakuna mwanamke anayetoka kuchepuka arudi home amenuna hayupo!! Anarudi kwa tabasamu la bashasha maana anakua mwepesi mpaka basi hata ukimwambia apande mlima uluguru kwa kukimbia mbona anaenda.
Mchepuko wako mzima?Nipooooooo!!
Teh! Kama mbwai mbwai tu, mkizingua nasisi tunanunaa tuu. Alafu ndio tunaelekeza majeshi michepukoni.Wanasema eti wanajinunisha ili wasiulizwe maswali wakirudi nyumbani.
Wache we!!! Mlivyo na maneno sasa!!Miaka yote hukujua kuwa ni kibamia,yaani unavyosema mmeoana miaka mingi maana yake kakuchoka na akawa anapata raha kwingine labda hujui kapata shimo la saizi yake na la kwako kaliona kubwa kupita kiasi halikuwa linamfurahisha kwa huo ukubwa uliopitiliza.
Hatuogopi keleb ndugu. We endelea na mkeo!Sawa mkuu, ndo muwape ushauri mzuri wenzenu, wasije wakaishia kwenye keleb au kuishia kufanywa mishkaki.
Una support ujingAVichwa vya familia vikiwa vijinga visipojitabua husababisha hata viwiliwili visijitambue.
Adui wa mwanaume ni mwanaume.Ila huu uzi umenifungua ubongo sana. Nimejifunza mambo mawili:-
-Vita ya madawa haijawahi kumwacha mtu salama.
-Adui wa mwanamke ni mwanamke.
Kwani huwa tunawabaka?nanyie hamsubiri tukue mkishaona mtaani umebaki wewe tuu kuolewa ndo mnaanza kulazimisha ndoa nakubeba mimba.
Mapenzi ya frash ndio mapenzi gani?Kibamia kinaonekana leo.... kila lahel ira kumbuka mapenzi ya frash hayanaga ant.. vairas
ExactlyNdio maana nasema wadada jamani tusikimbilie kuolewa kabla hatujajipanga jamani kwa karne ya sasa kutegemea mwanaume kwa kila kitu ilikua zamani tusiwe tegemezi .... Ukiwa na cha kujishikisha anakuzingua unajiondokea unapanga unaanza maisha yako vizuri tuuu bila kusumbuliwa na mtu anayeitwa mwanaume
Unaolewa una miaka 20 ili iweje?
Aisee, basi sawa.Hatuogopi keleb ndugu. We endelea na mkeo!
Ndo mjue tabia zenu. Mjue pia ni jinsi gani wake zenu wanafikiria na nini wanafanya bila nyie kujua. Msijiaminishe kuwa hamgongewi! Wasiogongewa ni wachache mnooo!ama kweli hii mada imetukamata pabaya. Utadhani wanaume wote tumelazwa wodini leo
Kabisa! Sasa kichwa hakifanyi kazi unategemea nini kwa mfano!!Vichwa vya familia vikiwa vijinga visipojitabua husababisha hata viwiliwili visijitambue.
Hapana ni mwanamke pia.Adui wa mwaaume ni mwanaume.
Anaonekana mwanamke tu, wanajitia hawaoni kuwa ni watu wawili hao.Amekufa dada pekee yake? Au namwaume? Hiyo inaitwa ajari kazini