Kuchepuka raha

Hili FisadiKuu alilisema.
Huo ni ujinga wanaojazanaga bar kuwa ndio suluhisho.
 
Jamaa aliekuwa nae hastahili kuombewa??? Why mwanamke peke ake???
Huyu mrembo kwakwel apunguziwe adhabu, angalau wengine tupate nafasi ya kuimba nae mapambio inatosha. Ningekua na uwezo wa kufufua ningemfufua huyu mrembo. Imeniuma sana kwakweli.
 
As long as sijazaliwa nae hata sitaki kusikia unambebisha mtu ambae haoni thamanj ya mbebisho wako ... Kiruuuu wenye moyo waendelee nishafika kilele cha mlima kilimanjaro
Mahusiano yawe two way traffic, sasa limtu liko busy na michepuko, wewe unahangaika nae!!!
 
Mmmh kuna watu wamepata wake wema afu hawawa-appreciate
 

Hongera kwa kazi
 
Mungu akusamehe. Inaonesha uliingia katika ndoa ungali na umri mdogo sana. Ndiyo maana hujui namna ya ku deal na changamoto za kwenye ndoa na hukucheza mechi nyingi za nje ukajua size mbalimbali za mitwangio. Sasa umekuwa mkubwa ndo unatafuta unatafuta chanzo cha kurukaruka nje. Kwanini usiombe talaka ukajiondokea uende kwa huyo bwana mpya uwe huru zaidi?. Fanya hivyo uone kama atakupokea na kama itapita muda bila mumeo kuoa tena. Tena mumeo kama ni muislam akiamua hata kuongeza wenzako watatu ataongeza. Ulichopaswa kukifanya ni kumuonya, mshitaki kwa wakwe zako au mshenga au mshauri wenu wa ndoa na asipojirudi unadai talaka yako. Hapo wewe ndo utaonekana umekosea zaidi kwasababu umelipiza kwa makusudi. Pengine mumeo huko nje kashakorogewa kitu hajitambui au pengine hata hachepuko, ni stress tuu za maisha haya ya Magufuli.
 
Kweli lakini jiulize kwa style hiyo anaye umia nani baba hashikiki na mama umeamua kufanya yako, je kama mna mtoto/watoto mnawawekea mazingira gani kwa baadae??
Kwani kuchepuka ni unaamishia majeshi huko au ni masaa kadha ushajirudia? Au unaita watoto unawaambia naenda kuchepuka? Watoto nalea kama kawaida na sitaonesha tofauti hata ... Tena huyo mdada mvumilivu .. Ni hivii naondoka nabeba mwanangu naenda mlea nina pa kushika mwanangu atavaa na kula vizuri tena kuzidi hata zamani ....
 
Yaani hadi unamtusi mmeo "eti ana kibamia" duuuh wewe mwanamke wewe, kisa huyo mhuni anaye kudanganya danganya tu, shauri yako …
 
Mmmh kuna watu wamepata wake wema afu hawawa-appreciate
wanataka michangudoa ya kuwashikisha ukuta kupiga simu tigo hahahaa ... Afu anataka mambo anayofanyiwa na michepuko huko ndio na wewe umfanyie ... Kafumua marinda huko anataka na wewe akufumue .. Walai si kwa laana hizo
 
Nimesoma comments humu, hakika nimeelewa kwanini ndoa za vijana walio zaliwa kuanzia 90s hazidumu
Lazima zisidumu maana siku hizi ndoa zimekuwa fashioooon fulani nae kaoa .. Fulani nae kaolewa basi tu kuficha umaruni wetu
 
Hahhaha daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…