BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Siku hizi wanajiita "wake wasaidizi"Ukute mama Getu kavumilia miaka yote hiyo For the sake of her kids. Afu mtu anakuja kukuulia hao hao watoto, tena mtu hapo ushajiandaa mwanangu ataanza kunisaidia soon. Unaweza kupata kichaa aisee. Tatizo wanaume wenyewe wanachukuliaga cheating kama ku have fun tu unapita, kumbe michepuko ina targets zao kibao. Yani nikiona mwanaume anajisifia kuchepuka, natamani nimgonge nyundo sijui mtcheeeew
Ila kuna wanaume wanaishi kwa tahadhali sana hata kama anachepukaUkute mama Getu kavumilia miaka yote hiyo For the sake of her kids. Afu mtu anakuja kukuulia hao hao watoto, tena mtu hapo ushajiandaa mwanangu ataanza kunisaidia soon. Unaweza kupata kichaa aisee. Tatizo wanaume wenyewe wanachukuliaga cheating kama ku have fun tu unapita, kumbe michepuko ina targets zao kibao. Yani nikiona mwanaume anajisifia kuchepuka, natamani nimgonge nyundo sijui mtcheeeew
Ukute mama Getu kavumilia miaka yote hiyo For the sake of her kids. Afu mtu anakuja kukuulia hao hao watoto, tena mtu hapo ushajiandaa mwanangu ataanza kunisaidia soon. Unaweza kupata kichaa aisee. Tatizo wanaume wenyewe wanachukuliaga cheating kama ku have fun tu unapita, kumbe michepuko ina targets zao kibao. Yani nikiona mwanaume anajisifia kuchepuka, natamani nimgonge nyundo sijui mtcheeeew
Mwanaume wa karne gani anaweza rekebishika? Labda kama ni wa sayari ya Jupiter.... Embu acheni masiharaNi mjinga pekee anayeweza kukuunga mkono, wewe ndiye mtu pekee wa kumrekebisha mumeo kwa makosa yoyote hata kama amefanya nini hiyo ya kuchepuka ni magonjwa tu mtajiletea na kuharibu familia yenu; Ebu fikirieni kuhusu kesho yenu itakavyo kuwa kwa mwenendo huo.
Tatizo ni kwamba hujaelewa hii mada!Mtanyooka tu
Hakukiona maana hakumjua meanaume mwingine zaidi ya mumewe.Kabla ya kuoana hukuona hicho kibamia? Hapo ndo wanawake tunapokosea. Kuchepuka si suluhisho mamii unachochea uharibifu zaidi kwenye ndoa yako
Ujue na mkeo akiflirt anasikia utamuMkuu flirting ilovyo tamu, daaah hako ni kaugonjwa tena kanaambukiza. Tena ukimaliza ku-flirt unakimbia kwa wife unacheza nae rede huku ukikumbuka ile flirting na espy.
Vijana endeleeni ku-flirt, kwanza wadada wanalika kirahisi ukianza ku-flirt nao.
Uniite tumtengenezee viagra asilia kidudu chake kivimbe siku 4 alafu hakuna kutoka ndani wala kupewa, nawe unambania kidudu chako aone rha yake.
Tena uliyempata bado ajui kitu ungenipata mimi ungeomba talaka kabisa maana ungeona jamaa kama anajubana tu! Na Mimi ninavyopenda dezo!Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Wahenga walinena mwanamke mafiga matatu. Figa moja hakai. Nakushauri utafute figa la tatu halafu ulete mrejesho. Tatizo watoto wa siku hizi hampelekwi unyagoni
Tena uliyempata bado ajui kitu ungenipata mimi ungeomba talaka kabisa maana ungeona jamaa kama anakubana tu! Na Mimi ninavyopenda dezo!
Mtu yeyote anaweza kurekebika akipata mtu wa kumrekebishaMwanaume wa karne gani anaweza rekebishika? Labda kama ni wa sayari ya Jupiter.... Embu acheni masihara
God forbid!!!Umenikumbusha my classmate Getrude rest in peace.... 😳
Mchepuko wa mdingi ulimpa mdingi dawa ya kienyeji ili imtibu Getrude, alivoinywa hali ikabadilika kapoteza kumbukumbu akawa kama anachizi hadi akafariki Dada wa watu, chanzo inasemekana getu alikua mshauri wa dingi hela za dingi anamsaidia budget hadi mzee kanunua kiwanja kaanza ujenzi mchepuko ukaona Getrude anaziba rizki
Yaani kujitoa ufahamu haswaa!Cases za hivi zipo nyingi sana my dear, ni vile watu hawaongei tu. Wanaume wanajitia wana nguvu sanaa wanaweza hata kumiliki wanawake 10, ila ukweli ni kwamba hizo nguvu hawanaaaaa!! Ni kujitoa ufahamu tu, ndio maana wakichepuka tu lazima huduma nyumbani zilegelege.
Aah wapi mie nakwambia labda kama kaamua kubadilika mwenyeweMtu yeyote anaweza kurekebika akipata mtu wa kumrekebisha
Si ndivyo mnavyosemaga hivyo hivyo hata yakiwakuta na yakuwkuta.We know how to deal with the "situation".
Ameeeen!! Unachomw duniani na mbinguni.Lakini bwana cheating ina hasara zaidi ya faida. Mambo ya kuchomwa moto kisa tu nanihii kweli, nooo..inipite mbali in the name of our heavenly father.
Angalia usinase kwa waume za watu mpaka mgsnga wa kienyeji aje kuachilia.Aluta continua bibie kwa raha zakoToka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.