Kuchepuka raha

Na tukiwaambia wanasema tu "wanawake kwa kuamini ushirikina", wananikera mimi hawa. Afu bora hata warogwe wenyewe huko walishwe vinyama vya K, michepuko mingine inaroga mkeo na watoto wapotee kabisa, yeye ndo ajitawale. Shindwaaa pepo mchafu
Umenikumbusha my classmate Getrude rest in peace.... 😳
Mchepuko wa mdingi ulimpa mdingi dawa ya kienyeji ili imtibu Getrude, alivoinywa hali ikabadilika kapoteza kumbukumbu akawa kama anachizi hadi akafariki Dada wa watu, chanzo inasemekana getu alikua mshauri wa dingi hela za dingi anamsaidia budget hadi mzee kanunua kiwanja kaanza ujenzi mchepuko ukaona Getrude anaziba rizki
 
Kila la kheri. Maisha ni kupanga na kuchagua. Mwisho wa siku uvumilie matokeo ya ulichochagua.
Nakusihi tu wewe fanya yako lakini usimkashifu mumeo. Weka akiba ya maneno mstahi mwenzio.
 
Kumbe unajua kuflirt ndio mwanzo wa kukulana eeh!! Basi endeleeni tu. Wake zenu nao wanaflirt hivyo hivyo ila sina hakika kama nao huwa wanakimbilia home kucheza rede nanyi
 
Waleta mada za aina hii huwa ni matangazo ya biashara
 
Kumbe unajua kuflirt ndio mwanzo wa kukulana eeh!! Basi endeleeni tu. Wake zenu nao wanaflirt hivyo hivyo ila sina hakika kama nao huwa wanakimbilia home kucheza rede nanyi
We know how to deal with the "situation".
 
Ukute mama Getu kavumilia miaka yote hiyo For the sake of her kids. Afu mtu anakuja kukuulia hao hao watoto, tena mtu hapo ushajiandaa mwanangu ataanza kunisaidia soon. Unaweza kupata kichaa aisee. Tatizo wanaume wenyewe wanachukuliaga cheating kama ku have fun tu unapita, kumbe michepuko ina targets zao kibao. Yani nikiona mwanaume anajisifia kuchepuka, natamani nimgonge nyundo sijui mtcheeeew
 
Wenzenu jana wamechomwa moto huko,washatembea mbele,cku yakiwafika hamtoamini ila ndio itakua ni hivyo.
 

Yaani hadi ugomvi kuvuana boksa!!
Nyambaafu zao. Ngoja nasi tuchoke sasa.
 
Lakini bwana cheating ina hasara zaidi ya faida. Mambo ya kuchomwa moto kisa tu nanihii kweli, nooo..inipite mbali in the name of our heavenly father.
 
Ndio uanaume huo, hudumieni tu.
 
9 michache??,how many can pull it off
Ujue ni tofauti mfano mume yuko masomoni ama kikazi mnawasilianan na nini,hapo lazma nimtunzie
Kero tuko wote miezi 9 unapiga nje tu unataka nifanyeje...
Aaah!! Nawe unajipigia tu maisha yanaendelea, kwanza unapunguza stress na taabu zisizo za msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…