Kuchepuka raha

Hakuna mwenye kupinga nguvu ya maombi,ila si kwa huu mfano wa shosti yako aliyekuwa akifanya uzinzi.
 
Kwani mkeo ni dada yako? Mwili mmoja huo. Muache akorokochoe kila mahali, na maswali yake umjibu vizuri tu tena kwa adabu.
Hapana aisee, kwani nikiwa na dhamira ya kuiba simu itanifanya nishindwe kumficha asijue? Nimeona rafiki zangu wengi wakigombana na wake zao kwa vitu vidogo vidogo kwenye simu ambavyo kimsingi wala havina umuhimu wowote ule.. Mimi yako sitagusa na yangu usiguse.. Ni ruksa uniwekee hata walinzi au CCTV Cameras nitembee nazo ila sio kushika shika simu bila ruhusa..

Mimi hata sasahivi ukishika simu yangu ukakuta conversation nazochat na rafiki zangu wa kike unaweza hata kuzimia, kumbe ni marafiki tu.. hehehehe
 
Nitafutie waziri wa viwanda soon nafungua kiwanda changu, nimebakiza cherehani moja tu.
teh teh teh we unamsikiliza yule muhaya... Yule Mzee Mwijage akimuweka demu yeyote kwenye 18 yake hachomoki.. Zee lina sound lile aisee na ile ongea yake mi kila nikimsikia nabaki nacheka tu..
 
Ukikua utaacha.

Kuna kitu kinaitwa mipaka, ukishoa/kuolewa lazima uitambue mipaka yako.
Sio ndio busyyyy flirting, safari moja huanzisha nyingine, mwisho utaanza kumsingizia shetani na kutaka uombewe.

Ukioa, punguza ama acha kabisaaaa hayo yanayokufanya uhofie simu yako kushikwa na mkeo. Be a MAN. Sio umeoa ila una_act like MBA.
 
Sikuwahi kupata ya mwanaume mwingine kwahiyo nilikua namjua yy tu baada ya kuonja nje ndio nimejua sio lolote alivyokua ananinyimaga hat mwez akirudi eti amechoka nakosa usingiz usk kucha na ililia
Poleh dada,dawa ya mwanaume mchepukaji na asiekujali ndio hio tuuu,mwili lazma akutulize mtu,ss mume hataki ufanyejee...ukitaka nisichepuke jitume babu weee..
 
Maudhi yakizidi mapenzi yanaisha hata hisia zinaisha ubabe wanaume kuhisi sisi wanawake akisha kuzalisha basi huna thamani kumbe huko nje watu wanakulilia
Hehhe kuna ile mwanaume anakukomalia umkubali unamjibu bwn me mke wa mtu,na yeye na mimi mme wa mtu tukubaliane basii Hehhe aibuuu
 
Em kwa mfano msando anayomfanyia Jacky mkewe saivi ni ninii kile....yet society expects awe na moyo wa chuma, subutuuu yenuu
 
Nisaidie kwa hilo, omba na kufunga maana mashemeji wanasumbua kweli wanamtaka wifi yao.. hehehehe
Oa mmoja kati ya hao waulizaji, au haujui kusoma alama za nyakati?
 
Siofii simu kushikwa sababu ya hivyo vitu.. Ila ni vile sipendi kushika simu ya mtu mwingine basi nami naprefer yangu isishikwe.. I mean ukitaka kuishika basi angalau niombe na nitakuruhusu kiroho safi.

Wakati wote simu zangu sihangaiki kuweka pattern wala password lakini eti niko naoga huku nyumba mtu anaanza kuipekua kila mahali I wouldn't love that. Kama unaona naenda kuoga na unataka kuipekua basi niombe, sio unafanya kama vile unatafuta unafukuza mwizi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…