Kuchepuka raha



Me like much wadada. Saante!
 
Maudhi yakizidi mapenzi yanaisha hata hisia zinaisha ubabe wanaume kuhisi sisi wanawake akisha kuzalisha basi huna thamani kumbe huko nje watu wanakulilia
 
Really? Ni aibu how? Nani anayeona hiyo aibu?
Mwanaume anapochepuka anachepuka na hiyo aibu unayoizungumzia. Yaani upo busy kumgegeda mwanamke ambaye mwisho wa siku unatambua kabisa aibu anapata yeye? Au huwa mnachepuka na viumbe gani labda?
Wanachepukaga na wanaume wenzao labda.[/QUOTE]
Wacha we!! Mmebadili msimamo tena!! Yaani mnajitekenya na kucheka wenyewe!!!


Huko ni kuchanganyikiwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…