Kuchepuka raha

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eli kumbe bado unaitafakari mada!! Hizi ndio shida za kuchepuka,ukikutana na kitu matata zaidi dharau zinaanza.
Imenitafakarisha, sitaki hii hali inikumbe. Kuradhauliwa ni kudhalilishwa ujuwe.
 
Wengi tumekengeuka, ila trust "wapo".
Aaaah wapi, 99.99% lazima wachunguliane. I wouldn't marry a woman before seeing her punani asee, hiki ni kizazi kingine kabisa.
 

Hizi story za mimi kuchepuka nashindwa kuzielewa!!! Vita dhidi ya madawa ya kulevya ni ngumu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
.
.
Siwezi kujibu hayo maswali mkuu Subiri siku nilete mada inayohusu uchepukaji wangu!
#MchepukoSioDealBakiNjiaKuu#
 
Hahaa demi you nuts, eti vita ya madawa ya kulevya
 
Angalia msije mkauana sasa ivi maradhi ni mengi mno.... Ila mwanaume hata kama ni mchepukaji huwa hataki Mali yake iliwe na wengine kuwa makini
Huu ni unyanyasaji sasa,haiwezekan kuchepuka iwe sawa kwake tuu,bora saivi ngoma droo .
 
...tena eti jamaa na kibamia chake, huyu dada kwani hakujua kuwa jamaa ana mbilimbi kabla ya kuolewa..Dah, huyu jamaa kadhalilishwa live online aisee.
Kabla ya kuchepuka hakujua kuna mandingo huko nje........
 
Aaaah wapi, 99.99% lazima wachunguliane. I wouldn't marry a woman before seeing her punani asee, hiki ni kizazi kingine kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani unaogopa nini eli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…