Kuchepuka raha

Huu ni ushauri WA shetan wala sio wako wewe unatumika tu
 
ujinga ni pale unapomwona mmeo ana kibamia akati wew size yako ni number 4., hapo chini.
 

Attachments

  • Capture.PNG
    78.5 KB · Views: 26
Fanya utaratibu wa talaka muachane kabisa ili mchepuko akuoe kabisa, ndo utajua maisha ni nini
Kwani mume alioa mchepuko? We hebu usivunje ndoa ya watu wakati sasa hivi ina amani kabisa.
 
Culture is dynamic mpendwa. Hata wao wangekuwa zama hizi wasingekuwa kama vile walivyokuwa zama zile. If you want our moms then be our dads.
Mkuu mimi babu yangu na baba zangu wakubwa walimwachaga bibi zetu kijijini na wao wakawa wanatembea kusaka maisha mijini.. Mara Nairobi, mara Mbeya, mara Dodoma kama mnavyojua maisha ya wazee wa zamani wa kichagga yalivyokuwa. Tena akienda huko anakaa muda mrefu na mawasiliano ni barua tu tena mara moja kwa mwezi..

Sasa kweli mnataka na sie tuishi hivyo? Wewe utavumilia mumeo kukaa nje ya nyumbani nusu mwaka mpaka mwaka bila ya kuonana? Yaani mnavyosema utafikiri vile baba zetu walikuwaga wazuri sana..
 
Subiri mkianza kutumia ARV furaha nafikiri itazidi zaidi
 
Sasa kwa taarifa yako wale wazee waliokuwa wanabaki kule walikuwa wanapiga kwa kisingizio wanatafuta mtoto wa chungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…