Baada ya kujua kilichopo huko alafu tunarudi tunaendelea kujenga. Kumbe leo hadi watoto mmewakumbuka!! Safi sanahivi ulikuwa wapi na hizi akili? tukae chini tuyarekenishe, siyo nawe ujitie kimbele mbele kukitembeza huko.
kuna watoto huku wanapotea njia, embu baelezee
Na mvua itunyeshee na wadudu watule ha ha ha
Tuvunjeee then tukalale chini ya mti.
Hawafai hata kidogo hawa. Waje tumsapoti na dada yetu jamani.Hahaa nashangaa supporters wa MOTP leo wamegeuka
Mnakuwaga hodari kweli wa kutulaumu nyie viumbe..Hapana tunataka na nyie muishi kama binadamu wenye utashi, sio kuishi kama wanyama mnapandiana tu
Mtego haunasi, anakwenda akiwa kishajikamilisha.Ngoja akutegee mtego akunase ndio utajua huku Afrika mwanaume kucgepuka ni legal lakini mwanamke kuchepuka ni illegal
Thank you mydear!I adore your mommy
Unaitwa moyo wa uuguzi, anao Heaven Sent tu.Ha haa eti muda bado. Inaweza kuchukua 20 yrs unaomba tu na kukondeana juu! God forgive me sina huo uvumilivu!
Ndio nimewahi.Kwahiyo pamoja na hayo matatizo yako madogo madogo (which I'm sure sio makubwa) ulishawahi kuchepuka?
Sie mioyo yetu ya bati la msauzi.Mkuki kwa nguruwe mama
Umesahau "till death do us apart"!!???Siuombe talaka
Hahaa sitakiiiUnaitwa moyo wa uuguzi, anao Heaven Sent tu.
Ndio hivyo, tutafanyaje sasa na shetani ana nguvu jamani!!!Ha haaaa mkemia mkuu!
Mumeo hii Id anaijua? Au ukisikia honi una sign out??Ndio nimewahi.
Na mpaka apate hiyo akili ya kwenda huko .. mbaya zaiditunatembea na wanaowafanania
Na wewe umeshawahi kuchepuka?Unaitwa moyo wa uuguzi, anao Heaven Sent tu.
Kweli ni shetani. Hata waume zetu ni shetani tu kawapitia (kama wanavyojitetea siku zote)Ndio hivyo, tutafanyaje sasa na hetani ana nguvu jamani!!!
Eti mi naona kama umemtungia mwanafunzi mtihani ukampa na majibu!Mchepuko haujakutia mimba? Kama hujapata mimba je, ikitokea mchepuko ukikupa mimba utamwambia mumeo au utambambikizia watoto wa mchepuko wako?