Kuchepuka raha

Cha msingi ni kupata alichokuwa anataka, iwe wamekanyaga/gwa/gana hizo zinabaki kuwa terms tu.

Muachage ubinafsi, acheni na wenzenu wapate faraja mloshindwa kuwapa mkaenda kuitoa nje, haya sema sawa!!!
kinanga komoooo...!!!! sisi tunaupendo sana. Tunaweza kuwapenda hata wanawake 10 kwa mara moja.
 
habari ya siku? uko salama? kunywa maji kdg afu twende sawa kdg.

Mi sijahalalisha chochote hapa.

Ila wenzenu tumeumbwa wadhaifu kdg kuliko nyie, nyie mmejaaliwa uvumilivu kdg... mtusitiri basi!!!., tujenge wala tusibomoe
Tusaidiane kujenga si me naweka tofauli halafu we unajitoa ufahamu unakuja na nyundo unavunja ukiulizwa unakuwa mkali aisee kama vipi tushike nyundo wote
 
Mnapenda kutuona tukilia eeh?
.
.
Mtu una muombea kwa kujifungia war room mpk kwenye madroo tunajifungia kuwaombea miaka na miaka hambadiliki! Labda hatujui kuomba!
demi itakuwa hujaomba kisawa sawa au muda bado.. Wewe endelea kupiga goti lazima atabadilika tu hehehehe
 
kumkomoa mtu kwa kutoa mwili wako utumike huo ni ujinga ambao nyie wanawake mnadhidi kuprove uwezo wenu c mzuri ............
ni mawazo tu lkn
 
Subiri page zikifika 100 ndio tutarudi kundini bwana.
 
Tusaidiane kujenga si me naweka tofauli halafu we unajitoa ufahamu unakuja na nyundo unavunja ukiulizwa unakuwa mkali aisee kama vipi tushike nyundo wote
hivi ulikuwa wapi na hizi akili? tukae chini tuyarekenishe, siyo nawe ujitie kimbele mbele kukitembeza huko.

kuna watoto huku wanapotea njia, embu baelezee
 
Mnapenda kutuona tukilia eeh?
.
.
Mtu una muombea kwa kujifungia war room mpk kwenye madroo tunajifungia kuwaombea miaka na miaka hambadiliki! Labda hatujui kuomba!
demi itakuwa hujaomba kisawa sawa au muda bado.. Wewe endelea kupiga goti lazima atabadilika tu hehehehe
 
Mnapenda kutuona tukilia eeh?
.
.
Mtu una muombea kwa kujifungia war room mpk kwenye madroo tunajifungia kuwaombea miaka na miaka hambadiliki! Labda hatujui kuomba!
demi itakuwa hujaomba kisawa sawa au muda bado.. Wewe endelea kupiga goti lazima atabadilika tu hehehehe
 
Wewe mwanamke mnafiki tu huna lolote. Maana nashangaa baada ya kuanza kuchepuka unadai mumeo KIBAMIA ili kuhalalisha uzinifu wako. Yeye ni kibamia kwa sababu wewe una RAMBO. Uziznzi ni uzinzi uwe umezini na gobole au SMG.
Aya sasa!!
 
Ngoja akutegee mtego akunase ndio utajua huku Afrika mwanaume kucgepuka ni legal lakini mwanamke kuchepuka ni illegal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…