Kuchepuka raha

Kila mtu ataubeba msalaba wake.wewe sikiliza ushauri wa wenzio ila jua mwisho mzigo utaubeba mwenyewe. Naangalia tu wanawake mnavyodanganyana hapa.
 

Sasa hayo unayoongelea ndio nature yenyewe wala sio dharau. Lazima itake place, acha kulalamikia nature. Hata nisipoongea nature ita-take place tu.
 
Wanawake wengi wao akili ziko matakoni.
 


Eti kwa nini attention wapewe wao tu kila wakati, as if ndoa ni ya upande mmoja.
 
Ila usisahu kuwa " mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba " ALAMSIK
 
Hawa wakinamama wakowengi mjini hapa, at least huyu kakubali anachepuka, ila ni wengi mno, wanaume tumepatwa...
Kweli kabisa huyu dada anaujasiri wa hali ya juu sana,Wanaume watambue unavyochepuka nakumwumiza mweza wako wako usifikiri yeye mjinga.

Siku hizi wanawake wanajiongeza kimyakimya tena wapo wengi balaaa hivyo kubalini tu dunia imebadilika sio ile dunia ya enzi za mama zetu hii ni nyingine kabisa.

Ukimchosha mwenzio kwa uchepukaji wako nae lazima achepuke tu huwezi ishi kwa majonzi na karaha kila siku wakati kuna wanaume wengi wanakutamani na wamepanga foreni uko nje,hivyo ni swala la pick tu yupi anavigezo uvitakavyo na maisha yanaendelea.

Maswala yakuwatishia wanawake eti kuna magonjwa hivyo hao wanaume wanavyochepuka hua hakuna Magonjwa?
 
Nature ime prove wrong ndugu. Hata wanawake wana dump wanaume na maisha yanasonga.
Ukishasema ' nature' huwezi kusema tena imeproof wrong labda artificial ndio inaweza kuproof wrong.
 
Tunakaribia mwezi mtukufu, usiharibu ibada za watu wanaotubu na kumrudia muumba wao.

Haya mambo yanaumiza wanaume to the extremes, ila ndio bidada kaamua kuishi kwa kulipiza, let her
 
Huyo mumeo nae ni wakupimwa akili. Mimi nijue mke wangu wa ndoa umeliwa nje huo mtiti wake ni wa Afghanistan kama Siyo Iraq.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…