Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
Hahaa hawa binadamu bana, eti mwanamke rahisi kuambukizwa.Wote walewale, Hamna cha mwanamke wala mwanaume. Kama ni hivyo basi nikiwa na mchepuko sio rahisi kuambukizwa maana umesema wanaume si rahisi kuambukizwa. Kwahyo bafo usalama upo.
Kwa mtazamo wako
Kuna watu wanajidai Saints sana humu JF na wakati ukisimuliwa visa vyao huwezi kuamini, lakini wakifika hapa wanajidai watakatifu.
Shame!
Kwa kweli what matters the most to us ni kuishi tu pamoja, ya humo ndani yatajijuHili nalo la kucheza mechi za nje mpaka mume kumsahau mkewe ni tatizo kubwa na labda ndiyo chanzo cha kurudi nyumbani na kuikimbia papuchi, "Nimechoka leo" utaishije na mkeo humgusi wiki wiki mbili au hata mwezi kwa kisingizio cha uchovu!? Kazi kweli kweli nadhani baadhi ya ndoa ni jina tu lakini uhalisia kila mtu yuko kivyake vyake zaidi.
Si umeona mapovu yaooKwa kweli, naona wao wakifanya hivyo wanakuwa automatically clean. Ikiwa ni sisi si sawa.
Mfume dume katika ubora wake.
Si umeona mapovu yaoo
Ahsante sana dada. Hii comment iwafikie wanaume wote ambao huwa wanajisifia "mke wangu hata hajali navyochepuka, hata nirudi saa 10 usiku atanipokea kwa Ukarimu tu". HeheSasa hivi amani mnoo mapenzi motomoto hata asiporudi akirudi asubuhi nampokea na pole nyingi
oooh michepuko inaimarisha ndoa, mwenzetu kaamua kuimarisha ndoa tunamchamba tehKha!, hahaha, si mchezo manake.
Hapo mwanamke akikosea kidogo tu kwenye nyumba angenangwa, halafu mume angeshauriwa atafute mchepuko wa kumfariji...lol
Inaoneka unadharau kwa kuwa mnatumwagiwa afu unasema mnatutumia na kutudampu yaan unajisifu hushawai kufikiria kuwa baba yako alimmwagia mama yako ukatokea we we?ulishai fikiria kuwa hadi uitwe baba inabid ummwagie mkeo /mpnz wako ndo update mtoto?mi naona we ni kivulana sio mwanaume na pia ulishawai jifikiria kuwa km mwanamke anamdharau sababu unamwagia kwann usimwage kwa mwanaume mwenzio ambae ni WA thaman kwako ?au ukamwaga kwenye boxer yako ,?muwe mnatafakar kabla yakuandika hapo anapomwaga ndipo mlipotokea na atatokea mtoto wako ,afu zaidi ya yote bado alietuumba alituona ni vema nyie mtumwagiwe kama wewe unatudharau jua unamdharau alie tuumba hadi mama na baba yako unawadharau shame upon you huna akil kivulana wewe hebu umba WA kwakoSijakariri that is a practice na ni nature... do whatever you can lakini nature itabaki, mwisho wa siku wanaume watakutumia, kukutemea kisha wanaku-damp.
Lets go, provided you dont buy that shit .....Tehe teheee
Utadhani mwanamke anachepuka na mwanaume wa dunia nyingine!Hahaa hawa binadamu bana, eti mwanamke rahisi kuambukizwa.
oooh michepuko inaimarisha ndoa, mwenzetu kaamua kuimarisha ndoa tunamchamba teh
WanashangazaaUtadhani mwanamke anachepuka na mwanaume wa dunia nyingine!
Endeleeni kumdanganya ili siku akivurumushwa mumsaidie kukaa nae. Aliyesema wanawake wana akili fupi hakukosea aisee.Teh teh wanaume wa jf wanafiki sana. Hapa ingekuwa ni mwanaume kapost basi angepongezwa vya kutosha. Angesifiwa kwa kuvuta kitu, wengine wangesema safi sana ndio dawa yao.
.
.
Chepuka tu bidada. K ni yako, ndoa ni yako! Life is too short!
Just be careful!
Sijakuelewa ni nini umenijibu. Nilichoandika na ulichoquote ni tofauti. Mimi ni mwanamke na si mwanaume. Hakuna dharau yoyote niliyoionyesha kwenye maneno yangu. Labda unifafanulie...Soma vizuri kabla ya kuquote!Inaoneka unadharau kwa kuwa mnatumwagiwa afu unasema mnatutumia na kutudampu yaan unajisifu hushawai kufikiria kuwa baba yako alimmwagia mama yako ukatokea we we?ulishai fikiria kuwa hadi uitwe baba inabid ummwagie mkeo /mpnz wako ndo update mtoto?mi naona we ni kivulana sio mwanaume na pia ulishawai jifikiria kuwa km mwanamke anamdharau sababu unamwagia kwann usimwage kwa mwanaume mwenzio ambae ni WA thaman kwako ?au ukamwaga kwenye boxer yako ,?muwe mnatafakar kabla yakuandika hapo anapomwaga ndipo mlipotokea na atatokea mtoto wako ,afu zaidi ya yote bado alietuumba alituona ni vema nyie mtumwagiwe kama wewe unatudharau jua unamdharau alie tuumba hadi mama na baba yako unawadharau shame upon you huna akil kivulana wewe hebu umba WA kwako
Haha asiporudi unaagiza kabisa na balimi, raha jipe mwenyeweee. teh mtu akikuchoka eti " kadudu kake"