Kuchepuka raha

Wabichi ndio hao wa chuo au unaongelea ubichi wa nguo? Asee kaka kuwa makini tu.
Hizo hela unazomuhonga ungeweka kwa ajili ya shule ya watoto wako ingekuwa vyema zaidi kuliko kumlipia mchepuko shule halafu akimaliza chuo anamalizana na wewe pia.
Kweli ni ubichi wa nguo
 
Duh!, kweli tunapoteza tu muda na wewe, angalia sasa akili zako zinafikiria kila mtu ana shida ya hela kama anavyochepuka mkeo kwa ajili ya hela maana Zoba kama wewe humtimizii mahitaji, si ya hali, mwili wala mali. Pole.

Buh bye Felicia!



uko vizurii kilaza wangu.
 
Duh!, kweli tunapoteza tu muda na wewe, angalia sasa akili zako zinafikiria kila mtu ana shida ya hela kama anavyochepuka mkeo kwa ajili ya hela maana Zoba kama wewe humtimizii mahitaji, si ya hali, mwili wala mali. Pole.

Buh bye Felicia!


ntakujibu kesho subiri nimpande wifi yako kwanza
 


ntakujibu kesho namliza wifi yako cha pili saivi
 
Angetangaza mwanaume kamega ungesikitika?
Wakati ukiwa trainee pale CRDB mwaka 2011 na utu uzima wako hujaweza hata kutumia mashine ya kuhesabia pesa unatetemeka na kapete kako cjui kalikuwa kauchumba au chakuibia wateja hela, ila baadae nakuja kugundua kuwa ni mke wa mtu ila ule mchepuko ulikuwa unafanya pale CRDB nihatari hadi stuff walikuchoka yaani hiyo omba omba na smile zakiwizi
kwa wateja duuuh cjui hiyo tabia bado unaendeaje nayo! maana mke wa mtu bado unachepuka huoni haya kisa kuwa teller tena trainee na uzee wote ule? Kwa maisha kama yale cjui cv yako ya kuajiriwa pale basi ilishachafuka sana. mm sio haja ya ww kujadili huu uzi hapa maana unakuhusu 100% wasiokujua wadanganye eti evelynsalt shame upon ya face
.
 



Evelyn Salt

njoo ujibu hizi shutuma za ukahaba
 
Makubwaaaaaaaa madogo Yana nafuu
Trainee??? CRDB BANK??? EVELYN SALT ha ha ha ha ha ha ha
2011 nlikua chuo kikuu mwaka wa pili taking Bachelor of Education in psychology, pole bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…