Kuchepuka raha

Hebu jaribuni thrn muone kama kutakuwa na tatizo.
Na uchache wenu huo ndio unakuta tumewapanga bado
Na hapa ndipo huwa nachanganyikiwa.

Wanawake single ni wa kutafuta ila wanaume single wamejazana. Hadi unajiuliza inamaana sensa Ilikosewa eeeh
 
mi nimefurahi umechagua fungu jema,la kuelewa na kuyafanyia kazi!
kwa sababu haya yanayoandikwa hapa!
kiukweli ndiyo yanayoendelea vichwani mwa wanawake walio na ndoa!
kimsingi sisi tu tumeamua kuwa their mouthpiece!
lakini hali si nzuri kaka zangu!
hali si salama kabisa mnavoamini na wengine hapa wanavojitia kiburi!

kimsingi TOFAUTI NA BABA NA VIZAZI VILIVYPITA!
WANAUME WA KIZAZI HIKI MNACHEPUKA BILA AKILI!
JIULIZE NAMNA FAMILIA ZETU ZILIZO NA STEP siss and bros!
lakini mama zetu hawakufika TULIPOFIKA SISI!

maisha yamebadilika sana!
SIKU HIZI
fine mnacheat as our fathers and fore fathers and daudis and Suleiman did
SIKU HIZI HAMTUMII AKILI!
ngoja nikwambie!(nimependa sana ur approach) KUKIRI MNAKOSEA!
so kukusiaida kuwa kioo chako ili UAMUE KWA DHATI KUTAFUTA UZEE MWEMA!

-KIMSINGI MKEO HATAKI MWANAUME MKAMILIFU,((Mungu pekee ndiye)
-KIMSINGI MKEO ANAJUA WEWE NI MWANADAMU SO KUKOSEA NI ADA!
-KIMSINGI ANATAKA AKUSAMEHE SANA LAKINI ANASAMEHE VIP ASIYEONA KOSA NA WALA ASIHITAJI WALA KUTHAMINI MSAMAHA?
-KIMSINGI UPO MAHALI ULIMKOSEA NA UKAMUUMIZA HISIA ,RUDI PALE TAFUTA AMANI YAKE ILIPOPOTELEA!
-KIMSINGI ALIUMIA NA NAMNA YAKO YA KUCHUKUA HISIA ZAKE ZA MAUMIVU SI KITU NI WIVU TU NA KUTAKA KUKUTAWALA,rudi pale muonyeshe vile hutafsiri hitaji kama kukutawala
-KIMSINGI ALIUMIZWA NA NAMNA VILE ULIVYOWAPA WATU WENGINE KIPAUMBELE UKAPUUZA UHITAJI WAKE KWAKO
-MY DEAR!UNA MENGI YA KUETNGENEZA KABLA YA KUUMIA NA UHARIBIFU UNAODHIRIKA KWA MACHO SASA


(NIMEKUTUMIA WEWE KUSIMAMA BADLAA YA WANAUME WOTE AMBAO THREAD HII IMEKUWA WAKE UP CALL KWAO)
KUANZA MOJA SI UJINGA!
VINACHOSHA ANYWAYS!
MNAWEZA YATENGENEZA MKIAMUA!
 
Na hapa ndipo huwa nachanganyikiwa.

Wanawake single ni wa kutafuta ila wanaume single wamejazana. Hadi unajiuliza inamaana sensa Ilikosewa eeeh

Ndio mtusaidie kujiuliza. Akiwa single basi ujue ni yuko na asiempenda ila kiuhalisia hayuko single, teh teh teeeeh!! Labda watoto ndio wa kike wengi ila watu wazima ni tofauti.
 
Hivi page ya 100 ishafika eeh tuanze kushuka madini sasa.
 
nilikuwa nasoma quote tuu nimejaribu kusoma mesage baadhi wanandoa wa kike acheni tu tule nje. wengi wenu ni kero..
 
Mpendwa mi aliyenirubuni ni mmoja tu..Wengine nawarubuni mimi..

ni kawaida kwa wanaume wengi mpendwa..Mtuelewe tu
Mpendwa ukisema kawaida kwa wanaume wengi unakosea, sema kawaida kwetu sote kwani mnachepuka na wanaume wenzenu? Si mnachepuka na sisi hapa BAD GIRLS???

Afu pia sio tu tuwaelewe ila tuelewane, IT TAKES TWO TO TANGO
 
mbona wanatusema sana? Wewe umejiunga lini jf?

Btw kuwa kama ziwa victoria kwani ni tatizo? Kama nitatizo mbona wengine wanashinda kwa waganga?
Nina muda kidogo toka nimejiunga. Nadhani hujasoma vizuri nilichokisema rudia kusoma. Sidhani kama kuna uhusiano humu wa kujiunga na kukomenti otherwise una personal issue na Mimi. Nilichosema hakuna mwanaume ambaye anaweza kusema juu ya via vya uzazi vya mpenzi wake wakishaachana lakini nyie mmekuwa na tabia ya kuwasema wenza wao. Kwanini kibamia hakikusemwa wakati kabla ndugu yako huyo hajachepuka? Na kama ulisoma vizuri reply yangu nilisema jambo kubwa ilikuwa ni huyo Dada kukaaa na kukabiliana na tatizo lililokuwa linaikabili ndoa yake. Lakini naona umekuja na povuuu
 
Hivi page ya 100 ishafika eeh tuanze kushuka madini sasa.
ahahahhhahahaha imefika na wamekaa wanasikiliza now!
wenye akili zao!
hao wengine achana nao wakazane kurekodi video za kutambishia kwenye insta!
 
Duuuh....yaani huyu dada ndo anataka kuharibu kabisa...Waliosema nyumba au familia inajengwa na mwanamke hawakukosea
 
snowhite ahsante nakushukuru sana.

Kwa niaba ya Wenzangu nakushukuru Wewe pia na Wenzako wote mliojitolea hapa kuwa kisemeo cha hali halisi kwa yanayowasibu Wake/Wenzi wetu kwa uwazi na Ukweli Mkubwa, naamini tulio wengi ambao tumefuatilia Uzi huu tumejifunza na tutaendelea kujifunza.

Yaani nimeimarika kwa sehemu kubwaaaa tena sana tu.

Muhimu tumshirikishe sana Mungu katika Maisha yetu ya kila siku kwani hofu ya Mungu iki tutawala tutakuwa na hekima katika mahusiano yetu.

TUBADILIKE.
 
YES!
TUBADILIKE!
WOTE LIPO TULILOJIFUNZA HAPA!
atakayekuwa amesoma hii thread na akabaki kama alivyo na anavyomtendea mwenzi wake kwenye ndoa basi tena atakuwa ameamua!
hii sredi imenifundisha kitu kikubwa sana!
mfano mengi tuliyoyaandika hapa HATUWAAMBII WAUME ZETU!
so very likely HATA WAO HAWAJUI THE DAMAGE NI KUBWA KIASI GANI!
ndo mana wapo bado wanaobaki kusimama na udume wakiamini the opp ni kuwa wa kike!
-la pili nimeona how far critical the situation is,zamani mwanamke kuandika wazi hivi kuwa nachepuka,na wengine wakamsapoti kwa uwazi na ujasiri huu ,aseeee nimeogopa!
sijaogopa kuwa nitapigwa(mume wangu anajua id yangu)
but najiuliza JAMII IMEFIKA HAPA BASI KUNA KAZI YA ZIADA!
KUNA KAZI YA ZIADA KUSEMA UKWELI!
-hizi ndio ndoa
-hawa ndio wazazi wa watoto
-hawa ndio wasimamizi wa ndoa
-hawa ndio mashemeji na mawifi
-pengine hawa ndio wakwe na wazazi wetu!

KUNA HITAJI LA KUBADILIKA KWA DHATI KABISA!
 
Uko sahihi sana wachukue somo hapa!siyo kila mwanamke anapenda kuchepuka!
 
akili zenu mnazijuaga nyie wenyewe. Tukitulia home amani inapotea kabisaaa, mwanamke unakuwa na majibu ya mkato mkato hadi kero. Hela za matumizi umepewa sijui umeficha wapi huko!! Asipite muuza njegere '' baby una 2000 hapo? Niazime naona uvivu kwenda ndani'' Muulize umeweka wapi nikakuchukulie, atakavyo vuta domo weee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…