Kucheleweshwa kwa mafao na PSSSF

Valenciaga

Member
Jul 4, 2020
43
61
Nilifungua madai mwaka Jana mwezi wa 5, nadai tu hela ndogo kama 2.7m lakini ni mizungusho tu, mara wanashughulikia za mwezi wa tatu mara bado inafanyiwa kazi, na hawajui ni lini fedha itatolewa kwa sababu walio fungua madai hapo ni wengi sana.

Kiukweli hii serikali inaumiza sana raia, inakuaje fao la kukosa ajira linachukuwa mda mrefu hivi karibia mwaka?
 
Back
Top Bottom