Kuchelewa kwa mishahara ya wafanyakazi wa umma mwezi Februari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuchelewa kwa mishahara ya wafanyakazi wa umma mwezi Februari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by binti ashura, Feb 27, 2011.

 1. b

  binti ashura Senior Member

  #1
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Naomba kuuliza iwapo wafanyakazi wa serikali kuna waliokwisha pata mishahara kwakuwa mimi na watumishi wenzangu katika wilaya yetu bado hatujapata!

  Naomba kujurishwa!
   
 2. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,833
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Mi nilijua ni huku kwetu tu!Tulizoea by 25 mgodi unakuwa ushatema,lakini mwezi huu tofauti mpaka leo kimya,tunasubiri kesho siku ya mwisho ya february!
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mtamkumbuka mkapa!
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Subirini hadi tarehe 5 machi.
   
 5. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,876
  Trophy Points: 280

  Ngoja akaongee na wafadhili, hazina haina kitu! Alikuwa ana majukumu mazito ya kuleta amani kule Ivory Coast aka Kodivaa. Usalama wa nchi kwanza, mishahara baadaye; si unajua ghala kuu la silaha limeteketea? Sasa ulitegemea aanze kipi, kununua mabomu mengine au kulipa wafanyakazi ? Wacha anunue mabomu wajeshi tuyalipue tena!
   
 6. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hali si nzuri kwa ujumla, hali ni mbaya sana, jana kuna chanzo fulani kilidai hata wanajeshi hawajapata, walizoea kupata b4 hata tar 22 but mwezi huu mpaka leo wanasugua bench na hakuna dalili. nadhani huu ndo uthibitisho kwamba hii nchi yetu jaman hali inazid kuwa mbaya, after all unadhani nyie Mbayuwayu mtamfanya nn huyo bwana mkubwa. kajaa jeuri na kiburi tu, kura zenu alisema hazitaki, kama wewe ulijipendekeza kwake ukampa shauri yako! tusubiri tuone kama atafurahi may be tar 11 march atatupa
   
 7. Makenya

  Makenya Member

  #7
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM Oyeee!
   
 8. Makenya

  Makenya Member

  #8
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM Oyeee!
   
 9. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  poleni soon mtapata wanaaanda namna ya kuwalipa madirishani huku wezi/majambazi nao wakiwa tayari kuikwapua na vibaka nao wakijiweka sawa kuwaibia kwenye daladala.
   
 10. S

  Shauri JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hali ni mbaya jamani,mpaka leo tarehe 27 hola?du kikwete sio mtu!
   
 11. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nambari wani ni CCM! Mvumilivu hula yaliyo oza!
   
 12. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  tuandamane sasa alaaa.hivi hiyo issue ya kulipia madirishani falsafa yake ni nini hasa . bado jua hiyo kitu imesababishwa na nini. watu walishazoea atm sasa wanarudishwa kule kule. mwenye idea please.
   
 13. m

  matambo JF-Expert Member

  #13
  Feb 28, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mishahara ishaingia zamani sana tu, halafu nenda kachungulie, utakachokiona tambua ni siri yako,, ila jiandae machi kupigwa dolo kama mambo yakiwa hivyo ninavyofikiri mimi
  usiogope nasikia tanza nia nzima
   
 14. s

  shosti JF-Expert Member

  #14
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kila lawama mwamtupia Kikwete hata mkishindwa kuwapa mimba wake zenu mtamlaumu hebu badilikeni tumewachoka na haka kawimbo:rain:
   
 15. n

  nyantella JF-Expert Member

  #15
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kuna tetesi kwamba hazina hamna kitu, serikali imeomba msaaada toka kwa wafadhili (wahisani) bado wanatafakari watupe au wasitupe! (source mwnanchi la jana j'pili). the main reason ni under performance kwenye makusanyo ya ndani due to you know what? yes kale ka-Mgao ka umeme! so lets wait and see.
   
 16. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #16
  Feb 28, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ndo shida ya kuajiriwa hiyo heri yangu mie faida kila siku sina wa kumlalamikia.

  Poleni sana wapendwa mtapata tu mshahara ni haki ya mfanyakazi
   
 17. C

  Calist Senior Member

  #17
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hoiiiiiiiiiii !
   
 18. s

  sawabho JF-Expert Member

  #18
  Feb 28, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Ingawa alisema yeye ndiye mwajiri Mkuu, najua hahusiki kuandaa mishahara ya wafanyakazi kila mwezi. Waulize hao wanaiandaa ni kwa nini wameichelewesha, wakikwambia hazina haina kitu, ndipo umgeukie Mzee wa kikwere akwambie kwa nini hulipwi mshahara ilhali mwezi mzima umekuwa ukiamka saa 10.30 alfajiri kujiandaa na saa 11.00 uko kituo cha dala dala.
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ahahahahaaah shostiiiiii!
   
 20. s

  sawabho JF-Expert Member

  #20
  Feb 28, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Nawe Desidii, hata kama umejiari unawategemea hao wanaolipwa mishahara iliyochelewa ili wanunue huduma kwako, kwa hiyo hata wewe huna salama yoyote, ngoja uone mauzo yako yatashuka.
   
Loading...