kabadimichael
Member
- Jan 14, 2016
- 6
- 0
Mwenye uzoefu na mambo ya utumishi wa umma, Nilibahatika kupata ajira mwaka jana mwezi wa 10 nikaenda kulipoti Kwenye halmashaur ya wilaya husika lakin tangu report nambiwa cheque namba bado haijatumwa wakat wezangu walpata ndan ya wiki 2 tu. Mwenye ufaham wa haya maswala anijuz!