Kuchelewa Kuanza Hedhi

myplusbee

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
3,217
Points
2,000

myplusbee

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
3,217 2,000
Wakuu Salaam!

Hapa home kuna issue tata kidogo! Kuna msichana ana umri wa miaka 18 na anakaribia miaka 19 hivi sasa! Ukimuona ana afya njema na haoneshi dalili yoyote ya upungufu wa kitu fulani mwilini! Sio tu kwamba anaonekana ana afya njema lakini amekuwa vizuri kwa sababu, usipomwangalia usoni na kugundua uso wake wa kitoto, unaweza kuamini amefikisha hata miaka 23 kwa jinsi alivyoenda hewani na mwili uliojengeka vema!!

Pamoja na yote hayo, huyu binti hadi sasa hajaanza kuingia hedhi!!

Ninachoomba kufahamu ni:

1. Je, hii inaweza kuwa ni hali ya kawaida pamoja na umri wote huo?
2. Kama si hali ya kawaida, hii hali inatokana na nini na tiba yake ni nini?!

Natanguliza shukrani zangu kwenu!
 
namanaga

Senior Member
Joined
Jan 16, 2017
Messages
158
Points
250

namanaga

Senior Member
Joined Jan 16, 2017
158 250
Inavyoonesha mwandish ni mwanaume sasa kinachonipa walakn yeye kujua kama hajaingia hedhi maana hedhi ni siri kwa mwanamke... Ningeomba kufaham Mzee baba una uhusiano gan na Huyo bint kwa kuanzia
 
Membe Jr

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2017
Messages
2,379
Points
2,000

Membe Jr

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2017
2,379 2,000
Wakuu Salaam!

Hapa home kuna issue tata kidogo! Kuna msichana ana umri wa miaka 18 na anakaribia miaka 19 hivi sasa! Ukimuona ana afya njema na haoneshi dalili yoyote ya upungufu wa kitu fulani mwilini! Sio tu kwamba anaonekana ana afya njema lakini amekuwa vizuri kwa sababu, usipomwangalia usoni na kugundua uso wake wa kitoto, unaweza kuamini amefikisha hata miaka 23 kwa jinsi alivyoenda hewani na mwili uliojengeka vema!!

Pamoja na yote hayo, huyu binti hadi sasa hajaanza kuingia hedhi!!

Ninachoomba kufahamu ni:

1. Je, hii inaweza kuwa ni hali ya kawaida pamoja na umri wote huo?
2. Kama si hali ya kawaida, hii hali inatokana na nini na tiba yake ni nini?!

Natanguliza shukrani zangu kwenu!
Mkuu umejuaje hayo mambo ya sirini? Maana hayo mambo hata sisi wazazi(baba) huwa hatuambiwi, inabakia kuwa siri ya mama,bintiye au ndg wengine watu wazima. Sasa mzee baba wewe umejuaje? Na una undugu wowote? Tuanzie hapo kwanza.
 
Bradha

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Messages
6,775
Points
2,000

Bradha

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2017
6,775 2,000

Kifuani na zile nywele za ukubwani vipi?Vimeota?
 
myplusbee

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
3,217
Points
2,000

myplusbee

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
3,217 2,000
Mkuu umejuaje hayo mambo ya sirini? Maana hayo mambo hata sisi wazazi(baba) huwa hatuambiwi, inabakia kuwa siri ya mama,bintiye au ndg wengine watu wazima. Sasa mzee baba wewe umejuaje? Na una undugu wowote? Tuanzie hapo kwanza.
Inavyoonesha mwandish ni mwanaume sasa kinachonipa walakn yeye kujua kama hajaingia hedhi maana hedhi ni siri kwa mwanamke... Ningeomba kufaham Mzee baba una uhusiano gan na Huyo bint kwa kuanzia
Kwahiyo kwenu family member anapopata tatizo linalohusiana na maumbile huwa mnafichana based on jinsia ya family members?!

Kwamba, mathalani mtoto wa kiume akiwa na tatizo, mamake anafichwa na mtoto wa kike akiwa na tatizo, babake anafichwa?!

Kama ndivyo, basi poleni lakini wenye akili zao hata kama wataamua kuficha, huwa wanauliza au kueleza indirectly na wewe unayeulizwa au unayeambiwa ndipo hapo unatakiwa kujiongeza!
 
Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
4,616
Points
2,000

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
4,616 2,000
Kwahiyo kwenu family member anapopata tatizo linalohusiana na maumbile huwa mnafichana based on jinsia ya family members?!

Kwamba, mathalani mtoto wa kiume akiwa na tatizo, mamake anafichwa na mtoto wa kike akiwa na tatizo, babake anafichwa?!
Embu jibu apo chini
Kifuani na zile nywele za ukubwani vipi?Vimeota?
 
Bradha

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Messages
6,775
Points
2,000

Bradha

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2017
6,775 2,000
Siwezi kujibu maswli ya kisen'ge
Kwa mara ya kwanza nimetukanwa humu leo.

Poa mkuu.Swali langu lililenga kutaka kujua kama ameota maziwa na nywele za siri ila hedhi hana.Au pengine hana vyote.Umeishia kunitukana.

I pray that huyo msichana kama ni ugonjwa apone.
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Messages
19,394
Points
2,000

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2016
19,394 2,000
Inavyoonesha mwandish ni mwanaume sasa kinachonipa walakn yeye kujua kama hajaingia hedhi maana hedhi ni siri kwa mwanamke... Ningeomba kufaham Mzee baba una uhusiano gan na Huyo bint kwa kuanzia
Kama ni dada yake anaweza kujua,mimi dada zangu huwa wananieleza kila kitu kuhusu afya zao za uzazi na huwa natoa msaada fasta!
 
Inna

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2017
Messages
10,646
Points
2,000

Inna

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2017
10,646 2,000
Mngempeleka kwa doctor special wa wanawake anayedili na maswala ya uzazi kwa ushauri mzuri
 
kapalamsenga

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Messages
7,106
Points
2,000

kapalamsenga

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2013
7,106 2,000
Wakuu Salaam!

Hapa home kuna issue tata kidogo! Kuna msichana ana umri wa miaka 18 na anakaribia miaka 19 hivi sasa! Ukimuona ana afya njema na haoneshi dalili yoyote ya upungufu wa kitu fulani mwilini! Sio tu kwamba anaonekana ana afya njema lakini amekuwa vizuri kwa sababu, usipomwangalia usoni na kugundua uso wake wa kitoto, unaweza kuamini amefikisha hata miaka 23 kwa jinsi alivyoenda hewani na mwili uliojengeka vema!!

Pamoja na yote hayo, huyu binti hadi sasa hajaanza kuingia hedhi!!

Ninachoomba kufahamu ni:

1. Je, hii inaweza kuwa ni hali ya kawaida pamoja na umri wote huo?
2. Kama si hali ya kawaida, hii hali inatokana na nini na tiba yake ni nini?!

Natanguliza shukrani zangu kwenu!
Kama ni wewe weka picha tukuone, kama jirani yako namba yake ya simu uweke hapa
 
myplusbee

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
3,217
Points
2,000

myplusbee

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
3,217 2,000
Kwa mara ya kwanza nimetukanwa humu leo.

Poa mkuu.Swali langu lililenga kutaka kujua kama ameota maziwa na nywele za siri ila hedhi hana.Au pengine hana vyote.Umeishia kunitukana.

I pray that huyo msichana kama ni ugonjwa apone.
......Ila ni swali la msingi maana kuvunja ungo au kubalehe kuna ambatana na maendeleo kama hayo ya kuota nywele sehemu za siri!

Mfano unaweza kuulizwa kama uyo demu "ameshaanza kufanya matusi?
Hiyo mnayoizungumzia nyinyi ni puberty stage na mwanamke anaweza kupitia puberty stage na asipate first period!

As for Bradha, nimesham-describe huyo binti kiasi cha kusema, ukimuona anaonekana ana afya njema and looking like above 20!

Kwa mujibu wa vyanzo vya kitabibu, moja ya sababu zinazosababisha delay in first menstruation ni ukosefu wa lishe bora na dalili zake ni kwa muhusika kuonekana dhaifu na ndio maana nikam-describe! There's no way a 19 years girl with no matiti ningem-describe kama ni mtu anayeonekana ni mwenye afya njema!
 
myplusbee

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
3,217
Points
2,000

myplusbee

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
3,217 2,000
Mngempeleka kwa doctor special wa wanawake anayedili na maswala ya uzazi kwa ushauri mzuri
Upo sahihi na hata leo alipelekwa hospital lakini wamepewa jibu jepesi sana "...hiyo ni kawaida, bado mdogo!" Yaani almost 19 years girl bado mdogo! Nadhani waliyemkuta ni wale, binti wa miaka 13 kwao ni mkubwa kwavile tu amevunja ungo!!

So, hapa nipo kwenye kujiridhisha na ndio maana swali langu la kwanza nimeomba kufahamu ikiwa hilo jambo ni la kawaida!
 
Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
4,616
Points
2,000

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
4,616 2,000
Hiyo mnayoizungumzia nyinyi ni puberty stage na mwanamke anaweza kupitia puberty stage na asipate first period!

As for Bradha, nimesham-describe huyo binti kiasi cha kusema, ukimuona anaonekana ana afya njema and looking like above 20!

Kwa mujibu wa vyanzo vya kitabibu, moja ya sababu zinazosababisha delay in first menstruation ni ukosefu wa lishe bora na dalili zake ni kwa muhusika kuonekana dhaifu na ndio maana nikam-describe! There's no way a 19 years girl with no matiti ningem-describe kama ni mtu anayeonekana ni mwenye afya njema!
Sema Mkuu me naona hakijaaribika kitu tuseme kua labda atakuja kukosa mume mana wengi hatupendi mambo za Period...

Indeed inaweza kua bahati tena akipata mume muislamu maana waislamu wanaambiwa wakifika peponi watapewa na Allah mwanamke 'mswafi' yani 'mswafi' ni ambaye HANYI wala hapati HEDHI!....

Kwaiyo bado ni habari njema.

Apo cha msingi acheki tu kama anaweza kupata mimba ama laah kama anaweza basi inshallaah hedhi sio lazima!

Maana inawezekana hapati hedhi ila kama tunavyojua ya Mungu mengi ya Kuku mayai kukawa na manuva fulani ya kupata bao!
 
Nimekuelewa bro ila sijaona sababu ya kuitana wasenge badala ya kueleweshana kawaida.
 
myplusbee

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
3,217
Points
2,000

myplusbee

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
3,217 2,000
Sema Mkuu me naona hakijaaribika kitu tuseme kua labda atakuja kukosa mume mana wengi hatupendi mambo za Period...

Indeed inaweza kua bahati tena akipata mume muislamu maana waislamu wanaambiwa wakifika peponi watapewa na Allah mwanamke 'mswafi' yani 'mswafi' ni ambaye HANYI wala hapati HEDHI!....

Kwaiyo bado ni habari njema.

Apo cha msingi acheki tu kama anaweza kupata mimba ama laah kama anaweza basi inshallaah hedhi sio lazima!

Maana inawezekana hapati hedhi ila kama tunavyojua ya Mungu mengi ya Kuku mayai kukawa na manuva fulani ya kupata bao!
Hahahaha!!

Naamini hata wanawake wenyewe wanaichukia hiyo MP lakini kwavile ni jambo la kiasili au pengine la kibaiolojia kwa mwanamke kupata period, basi asipopata lazima iwe alarming! Unaweza kupuuzia kumbe mtu ana medical problem na hadi mnakuja kushituka, inakuwa too late kwa sababu tu mlipuuzia yale yasiyo ya kawaida!
 
Forum statistics

Threads 1,356,328
Members 518,876
Posts 33,130,647
Top