Kuchechemea ukikanyaga haja

Kuchechemea ukikanyaga haja

LE GAGNANT

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
1,241
Reaction score
253
Haja kubwa siyo mwiba, lakini ukiikanyaga kwanini wachechemea?
 
Mazingira yangu hayana vinyesi kwahiyo sijui jibu.
 
Haja kubwa siyo mwiba, lakini ukiikanyaga kwanini wachechemea?

Ili kinyesi kisisambae zaidi na kama ni mwiba/kipande cha chupa basi usiende/kisiende mbali zaidi ya hapo ulipofika/kilipofika.
 
Hivi watoto wakikanyaga ubwabwa huwa wanachechemea,why?BAK ww si pediatrician?
 
sio kila kinyesi ukikanyaga unachechemea bwana...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom