Kuchechemea ukikanyaga haja

Kuna sehemu moja watu wanajisaidia haja kubwa akimaliza anajisafisha kwa kujisugua kwenye ardhi..lol
 
ha ha ha ha ha, unaona kama muvi lakini wenzio ndo tunaishi ivo. Ha ha ha ha ha, dah! Nidai utakacho

sitakoment kwa sasa kuhusu hili

Kuna sehemu moja watu wanajisaidia haja kubwa akimaliza anajisafisha kwa kujisugua kwenye ardhi..lol
 
sio kila kinyesi ukikanyaga unachechemea bwana...

Nishajua wewe unawaza nini...hahahaha lol! Mzima lakini? Nasikia eti umenyonyoka nywele :):) Mie nina Afro la nguvu njoo nikuazime kiasi kama zitaota tena basi utanirudishia nywele zangu :):)
 
hahahahahahahahaahh mzima kabisa ila nywele ndo msala....utakuwa umefanya jambo la mbolea kweli ila nikinogewa na liafro la ukweli sijui itakuwaje maana sintalirudisha hata zikiota:lol::lol::lol:
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hahahahahahahahaahh mzima kabisa ila nywele ndo msala....utakuwa umefanya jambo la mbolea kweli ila nikinogewa na liafro la ukweli sijui itakuwaje maana sintalirudisha hata zikiota:lol::lol::lol:

Hahahah lol! Jinsi ninavyolipenda Afro langu utakoma ubishi na kujuta kuzaliwa :):):) maana hata kizimbani nitakupandisha kudai nywele zangu lol! Nasikia pia unakula mayai sana :):) punguza kidogo labda nywele zitaota tena hahahaha lol!
 
hahahahahahaha we ukishaniazima hilo jiafro andika maumivu :lol:maana hamna kitakachokusaidia kuzipata tena.....cha ajabu mayai hata sili naogopa kuota nanihii ila nywele mtihani halafu uliza wapi kisogoni hahahahahahhahahah!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom